Natafuta simu MFOX A8 hadi 11

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
natafuta simu MFOX A8 AU A11 ni military mobile phone kutoka China nimeipenda, nipo tayari kununua bei isizidi 1 milion
 
Ina vitu gani vilivyokufurahisha
Ina vitu vingi kaka kuanzia uimara, uwezo wake kuhimili mazingira ya maji, matope, ikadondoka ghafla, tukija kwenye app humo ndani ina vitu vingi sana
 
Mfox A8 china kwenyewe ni usd 1,350 labda mkuu kamata mfox j5
Ngoja nifanye mazungumzo kuna binti wa kichina nilikuwa naye kwa muda wa mwezi mmoja amerudi kwao anichekie namna bora ya kuwezesha iniifikie nikiinunua kule, Elmagnifico unayajuaga haya madubwasha kiongozi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom