Natafuta simu IPHONE

Mi Naona huyu jamaaa hakuwa serious.

Nilimwambia mimi ninayo I PHONE 3 na bei ni Tzs 1,200,000 nimetoka kui un lock two weeks pale Sapna.
Jamaa naona kaingia mitini
 
hope ameshapata ihone au kama alitaka kujua bei zake naamini amepata majibu kede kede arudi hapa atupe mrejesho
 
nenda sapna wanazo au kkoo wanazo kwa bei hyo na chenji inarudi alafu uchomoki imezidi org kwa vionjo mpaka line 3

Wewe unaona watu wanatumia iphone unaona vitu vidogo tu,umempa jibu poa sana double line kwa laki tatu unapata iphone tatu na chenchi anarudishiwa.mimi natafuta 2g kwa laki tatu nakosa,du..! poa alakini.
 
Kwa 3g nina 300000 na ingine 500000 reach me 0754-415306 or 0787-415306
Thanks:love:

mkuu mimi naweza kukutumia i phone original lakini kwa hii bei yako hapa hupati kitu zaidi ya mchina ambayo ipo slow sana kama upo serious andaa dola 700 unapata i phone original n 3G memory 32 GB na kama unataka i phone 4 andaa dola 800-900 unapata ..mpya kabisa na guarentee 1.5 years
 
Wewe unaona watu wanatumia iphone unaona vitu vidogo tu,umempa jibu poa sana double line kwa laki tatu unapata iphone tatu na chenchi anarudishiwa.mimi natafuta 2g kwa laki tatu nakosa,du..! poa alakini.
e bana ninayo 2g unlocked 16 GB km uko serious ongeza 100,000 nikuletee
 
Wewe unaona watu wanatumia iphone unaona vitu vidogo tu,umempa jibu poa sana double line kwa laki tatu unapata iphone tatu na chenchi anarudishiwa.mimi natafuta 2g kwa laki tatu nakosa,du..! poa alakini.

mkuu 2g unapata kwa bei hyo bila shida kabisa kama vp nione
 
Wadau

Kina M2 ka ni PM lakini nimeshindwa kuona Msg yaje.

Nafikiri ni yule jamaa aliyekuwa anahitaji I PHONE 3

Tafadhali kama waweza Tuma Tena AU nipe No. yako nikutwangie tafadhali
 
Wadau

Kina M2 ka ni PM lakini nimeshindwa kuona Msg yaje.

Nafikiri ni yule jamaa aliyekuwa anahitaji I PHONE 3

Tafadhali kama waweza Tuma Tena AU nipe No. yako nikutwangie tafadhali

mkuu ukimaliza biashara ucsahau kuleta fungu la kumi
 
Echolima

Nimeona Msg yako ume ni PM lakini nimeshindwa kuifungua inakataa kwenye PC Yangu.

Hapa kwenye Company yetu watu wa IT wanaBlock vitu kama hivyo.

Mi nakushauri nipe Namba yako then nikutwangie tumalize biashara hii

Asante kwa kuonesha nia Mkuu n
 
Namba yangu 0754-415306 au 0787-415306 unipandika bila shida.
 
Namba yangu 0754-415306 au 0787-415306 utanipandika bila shida.
 
Wakuu napenda kuwafahamisha kuwa leo hii nimepata IPHONE 3gs 8GB MODEL-MA712ll yenye version 3.1.3.(7E18).
Nimejaribu kuwa-PM drphone na kifimbocheza na niliwapa namba zangu lakini bahati mbaya sikusikia lolote kutoka kwao hata hivyo mimi nitakuwepo Dar mpaka jumanne nawaomba tu tuonane maana kuna vitu vya kurekebisha kwenye simu hiyo niliyonunua,kuna baadhi ya apprlication zake zimefungwa kwa password na aliyeniuzia anasema alishasahau password yake Kwenye HOME SCREEN unaingia bila shida tatizo linakuwa kwenye baadhi ya APPLICATION kama vile Safari,ipod,yahoo,messenger.
Jamaa huyo aliniuzia kwa bei ya 300000 si ya kichina Drphone au kifimbocheza wakinipigia nitawatafuta popote walipo Dar na nitawaonyesha.
Mwisho nawashukuru sana wote waliotoa mchango wao wa mawazo ili nisichukue IPHONE ya kichina.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom