Natafuta simu IPHONE

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,826
2,057
Natafuta simu IPHONE ya kununua yeyeto mwenye nayo tuwasiliane ikipatikana IPHONE-4 itapendeza zaidi:fish:
 
Kwa 3g nina 300000 na ingine 500000 reach me 0754-415306 or 0787-415306
Thanks:love:
 
Kwa 3g nina 300000 na ingine 500000 reach me 0754-415306 or 0787-415306
Thanks:love:

nenda sapna wanazo au kkoo wanazo kwa bei hyo na chenji inarudi alafu uchomoki imezidi org kwa vionjo mpaka line 3
 
Mimi ninayo I PHONE 3 bei ni 1,200,000

NIlitumiwa toka Marekani hata sijaitumia ni Mpya kabisa

Kuwa Makini kuna za China zinauzwa 500,000 hado 400,000

NI PM KAMA UNATAKA SINA LONGOLONGO

IPHONE 4 PALE SAPNA NI 1,800,000 MPAKA 1,700,000 NENDA UTAONA BEI YAKE
 
I second you on that price kwa I phone 3
 
kama una $400 ni-PM, nina 3G~32G mpya kabisa. Ila itabidi shughuli ya kui-unlock uhangaike nayo wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom