Natafuta simu aina ya Nokia Asha 303

Mbilimbili

Senior Member
Mar 17, 2012
172
19
Za asubuhi wadau, kwa mwenye sim niliyoitaja hapo juu naomba anipe uzuri wake. Nataka kuinunua, pia kwa hapa Moshi nitaipata kwa shilingi ngapi.
 
maduka ya moshi hamna kaka? Mpaka uweke 3ed hapa? Basi panda basi njo mtaa wa agrey
 
Pale Breakpoint Kijitonyama kunajamaa anaziuza TZS 150,000.......very simple phone
 
Hii hapa

nokia-asha-303-1.jpg
 
Mtambuzi anayo amenunua juzi juzi baada ya kuisahau simu yake
kaunta huko mwenge.

jaribu ku-pm atakupa bei ya sasa hivi.
 
Mtambuzi anayo amenunua juzi juzi baada ya kuisahau simu yake
kaunta huko mwenge.

jaribu ku-pm atakupa bei ya sasa hivi.
mama na wewe.... si ungesema tu nimenunua juzi....... sasa hayo mengine yametoka wapi...!
Una nongwa wewe......................LOL
Mimi nilinunua Nokia Asha 200 pale makao makuu ya Airtel Mororco
 
Si unajua watu wanapenda kujua historia,
nimempa hint kidogo,

Mzima wewe mwanangu.

mama na wewe.... si ungesema tu nimenunua juzi....... sasa hayo mengine yametoka wapi...!
Una nongwa wewe......................LOL
Mimi nilinunua Nokia Asha 200 pale makao makuu ya Airtel Mororco
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom