Natafuta shule nikafundishe Jamani

Mimi ni msichana ninaependa kujituma na ninaelimu ya chuo niko tayari na ninauwezo wa kufundisha masomo ya arts naishi Dar es salaam. pliz msaad ktk hili

kwa nini usiombe kazi ya udaktari?Ina maana ualimu kada ya watu walioshindwa kupata ajira katika sekta nyingine!
 
jaribu kufanya application shule za nje ya jiji kidogo, anza na english medium ukifuatia secondary pamoja na vyuo vya ualimu, ..hupaswi kuchoka ikiwa hujapata unachotaka....Muombe Mungu ktk kila jambo
 
kwa nini usiombe kazi ya udaktari?Ina maana ualimu kada ya watu walioshindwa kupata ajira katika sekta nyingine!

.



Jamani, mtu kasoma sociology wewe unataka aombe kazi ya udaktari!!?

Kuna watu wa fani nyingi tu wametafuta kazi za kuajiriwa walipokosa wakaamua kufanya shuguli zingine ikiwemo ualimu!!

Ualimu unaonekana una nafasi nyingi kutokana na uwepo wa shule nyingi kwa sasa nchini kwani ongezeko la

watoto/vijana limekuwa kubwa na wengi wanataka kusoma!!


Mamkey,

Kwa field yako unauwezekano mkubwa wakupata kazi kwani watu wengi waliosoma sociology wanaupeo na uwezo wa

kujichanganya na kueleweka kwa watu wengi....

Tafuta shule za private, we uliza usingalie wala usijali waajiri wataokukatisha tamaa!!

Nakwambia utafanikiwa tu, kama uka dar utasota kidogo... lakini shule za fundisha zipo.





.
 
Wakati mnaambiwa msome education mlikua mnadharau,leo ndo mnajifanya kuililia kuwa walimu?
 
nenda wizara ya elimu na vyeti vyako vyote original then utawelezea dhumuni lako,watakupangia shule ya kufundisha,kuna rafiki yng alisoma sua nae alihangaika hivyohvyo kupata kazi ila alivyofanya hivyo tu akabahatika akapewa shule,kila la kheri dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom