Natafuta shule kwa Mtoto wa Miaka 3 (Boarding)

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Habarini Wana JF

Nina mwanangu nataka nimpeleke shule akawe anakaa huko huko ana miaka 3 anaenda mwaka wa nne

Naomba kuzijua shule zinazokuwa zinamfundisha mtoto kingereza kizuri kwa watoto wa umri huo na watoto wanakuwa wanalelewa huko huko i mean bording

Shule iwe Dar Es Salaam na ada isiwe inazidi Milioni Moja na Nusu! Naombeni msaaada
 
Hata kama una matatizo kwasasa sikushauri hata siku moja mtoto mdogo kama huyo umpeleke boarding
Tafuta day care nzuri na mtumishi mzuri wa ndani amhudumie mtoto at least uwe unamuona mwanao kila jioni au yeye anamuona mzazi
Huo sio umri wa kuachia walezi fikiria mara mbili uamuzi wako huu
 
Alafu mtoto akiwa mkubwa na hajui kupika wala kufua mnasema mjeuri mara oooh kalogwa!!!

FYI unaenda muharibu mwanao.
 
Mkuu nimeshafikilia mara kufikilia nimefikia uamuzo huo kama unazijua shule naomba nitajie!
 
Alafu mtoto akiwa mkubwa na hajui kupika wala kufua mnasema mjeuri mara oooh kalogwa!!!

FYI unaenda muharibu mwanao.
Hahhahahahahaha Mkuu ni mipango tuu Mwanangu nataka asome miaka Miwili Awali na chekechea baada ya hapo mambo yangu yatakuwa yamekaa sawa! Nitamtoa na kumsomesha Day huo ndo mpango wangu
 
Mmh hapana labda jaribu kipepeo iko mikocheni lakini please fanyia kazi ushauri wangu
Nashukuru mkuu! Hawana website au contact zao?

Mtoto nataka asome mwaka huu na ujao 2018 ataanza darasa la kwanza day na atasoma shule za kawaida tu ni day sababu mambo yangu yatakuwa poa
 
The last thing I would dare to do! Ulizaa kwa bht mbaya? 3yo kid to stay away frm u? Pole anyway huenda sio kwa kupenda.

Ulishindwa Dar mpeleke MAPS mbeya
 
Nashukuru mkuu! Hawana website au contact zao?

Mtoto nataka asome mwaka huu na ujao 2018 ataanza darasa la kwanza day na atasoma shule za kawaida tu ni day sababu mambo yangu yatakuwa poa
Nenda Morocco AAR wako the next house nafikiri
 
Hivi wazazi wengine mnafahamu maana ya mtoto? Kwenu nyie Tv au simu zina thamani kuliko mtoto wenu na damu zenu, nasema hivyo kwa sababu kama ningekwambia niazime simu yako au Tv yako kwa mwaka mmoja husingekubali. Hv unathubutuje kumchukua mtoto mwenye miaka 3 au 4 kumkabidhi kwa mtu husiyemfahamu?

Unachokifanya ni unyama, hebu muangalie mtoto wako usoni fikiri huyu mtoto unampeleka kwa mtu ambaye hajawahi kumuona, na unamuacha kwa huyu mtu wiki au miezi hv hii shule ya mtoto wenye miaka 3 ni muhimu kiasi hicho? Hiv huna mama umpeleke mtoto wako kwa hicho kipindi mpka mambo yako yakae sawa?
 
Milioni moja na nusu ndio offer yako!! Na mwanao ni 3yrs old! That's a joke. Unajua task ya kumshughulikia huyo mtoto lkn? Ikesha unapanga kulipa 1.5m/- !!! Sijui lkn just imagine we mwenyewe! Au hiyo 1.5m/- ni monthly fee?
 
Don't be too judgemental. Inawezekana kuna mazingira yanayopeleka hii kuwa the best option kwa sasa.
 
Milioni moja na nusu ndio offer yako!! Na mwanao ni 3yrs old! That's a joke. Unajua task ya kumshughulikia huyo mtoto lkn? Ikesha unapanga kulipa 1.5m/- !!! Sijui lkn just imagine we mwenyewe! Au hiyo 1.5m/- ni monthly fee?
Unatumia vigezo gani kukadiria gharama za service kama hii?
 
Back
Top Bottom