Natafuta serious girl friend

Tumia mbinu za kimila.
Chunguza wazazi wake, wajomba, mashagazi, madada. makaka n.k.
Ukikuta ukoo huo umetulia yaana ni wasomi wazuri, wachapa kazi, si walevi, hawana magonjwa ya kurithi, si washirikina n.k basi hamna shaka binti utakayeoa atakufaa.
 
kaka nakushauri ujaribu kutangaza nia yako kwenye sura ya kitabu (facebook) utapata haraka sana.
 
Wewe mbona hujaweka wasifu wako? Je una mtarimbo wenye urefu wa inchi ngapi? Umetahiriwa au bado? Wewe ni bikira au used?? Weka data zako hapa upate wa kukufaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom