Natafuta serious girl friend

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Awe mrefu wastani, elimu kuanzia form six, age asiwe zaidi ya 24years, rangi yoyote, asiwe mnene, awe mcha Mungu. Mwenye sifa hizi aniPM tafadhali au anicheck kwa email lushe2010@yahoo.com

Asanteni
 
Kajichagulie pale uwanja wa Fisi au nenda Tanzania gert Dodoma hasa kipindi hiki cha bunge wamekusanyana toka wholever the country.
 
Mi nadhani kupata 'serious' girlfriend inabidi mtafutaji awe serious pia. Na kuwa serious ni pamoja na kutokutafuta girlfriend kwenye mitandao.
 
Mi nadhani kupata 'serious' girlfriend inabidi mtafutaji awe serious pia. Na kuwa serious ni pamoja na kutokutafuta girlfriend kwenye mitandao.
<br />
<br />
hadi sasa nimekula NDUDE TANO from internet.........we shangaaa tuuuhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom