Natafuta serengeti boy

Status
Not open for further replies.
haya huu hapa uozo wake mwingine

https://www.jamiiforums.com/love-co...natafuta-demu-wa-ku-cheat-nae.html?highlight=

so far jina lake halisi ni ANTHONY HAULE na ni mwanafunzi wa chuo kikuu DSM.
jamani hivi sikuhizi Asprin hakunaga ku sup wala kucarry na repeat a year enh!!
manake wallah zingekuwepo asingepata muda wa kufanya haya.
Hahahahaha aliyekupa wito na kipaji cha ualimu hakukosea.... LOL

Nimecheka mbaya asee! Hivi vyuo vya siku hizi kuna ku-sup basi? We angalia mpaka watu wenye madivisheni foo wanaingia yunivesite na kutoka na digrii festi klasi!!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu wangu gfsonwin na snowhite pamoja na washaji zangu Kongosho, King'asti, Kaunga hebu naomba mnitafsirie hii posti.

Mi niko huku nasheherekea ushindi wa Fyatanga pale Leaders Club

hahahahha! Asprin bana wewe huoni huyo ana geza chutamo la kike ilihali tundu hana??
anatafuta watoto wamjini wamsaidie side B. KUFUMUA RINDA NAKO KIPAJI UJUE NA SIO WOTE WANACHO.
 
nimecheka sana as leo nilipokuwa narudi home nilikutana na gari moja ina plate # za jina la mtu MUGANYIZI sasa nikasema dah! kuna watu wana hela yarabi mwenzangu nlokuwa nae kwenye ka kaza roho kangu akaniambia nanukuu ""mwali usione hivyo hapa mjini watu wanaendesha magari ya kifahari kwa tambo wengi humu wamevaa pamapers"" nikamuuliza kivipi akasema alaaaaaaaa unashangaa nini sasa wengi mjini hapa marinda kwishney sasa anafanyeje?? inabidi kuvaa pampers
ili kuziba ---- lisimwage nnya..............mie kicheko njia nzima khaaaaa! nimekoma mm na tambo za watu.
 
Aliyekudanganya tundu hana ni nani? Kama unabisha kaulize tundu la choo.:playball:
 
Yailahi toba!

Ngoja nisijeiharibu kwaresma yangu mie!!
 
Aliyekudanganya tundu hana ni nani? Kama unabisha kaulize tundu la choo.:playball:

ama kweli umeniweza so hilli la choo kshalifanya tundu la kike sio?
sjui kwann wanatuonea wivu jamani................ama wanatuonea wivu tunavyofaidi enh!
 
Mwalimu wangu gfsonwin na snowhite pamoja na washaji zangu Kongosho, King'asti, Kaunga hebu naomba mnitafsirie hii posti.

Mi niko huku nasheherekea ushindi wa Fyatanga pale Leaders Club

Huyo bado kidogo tutaanza gombea naye mabwana. Maana ana nge za kufa mtu. Ole wake akatize anga zangu; nitamziba na saugage fruit sijui tunda linaitwaje kiswahili. Mwambie agoogle 'Kigelia africana' atapata habari yake.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu wangu gfsonwin na snowhite pamoja na washaji zangu Kongosho, King'asti, Kaunga hebu naomba mnitafsirie hii posti.

Mi niko huku nasheherekea ushindi wa Fyatanga pale Leaders Club

huyu bana anatuonea donge saaaaaana tunavovaaa g-string
huyu bana anatuone tumependelewa kweli kuwa na hutu tumilima hapa kifuani
huyu bana anaona kama viel namna gani tubadilishane huu mpango wa kuwa wanaanga mara kwa mara
huyu bana anaona kama vipi na ye aitwe mwanaasha!
kuna swali lingine ?
 
Hivi Uongozi wa JF mpo wapi hadi mashog.a wanajiachia tu humu ndani kama vile wapo Magoti????

Wewe inakuhusu nini ?, wivu tuu na roho mbaya, umeona headline anatakiwa serengeti boy , wewe ukaja haraka kuisoma ili upate wewe tuu, kwani mashoga hanwa haki ya kustarehe na wewe? Wewe kwani umeumba mashoga? una elewa kwanini mtu ana kua shoga? unaelewa shoga naye ana taka sex? kama wewe sio shoga , habu jaribu kukaa miezi sita bila kufanya sex , halafu uniambie kama ni kitu rahisi, unadhani hatuna mahitaji, watu kma nyie ndio mnatufanya tuhangaike , tungeruhusiwa ndoa walatusinge kua tun a shida humu sababu tunegkau tunawapata wenzetu bila tatizo na kuoana nakuishi kwa raha na mahitaji yote ya kimwili , unajifikiria wewe tuu.
 
Status
Not open for further replies.
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom