Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Ninatafuta sehemu ya kufanyia biashara maeneo ya Arusha kwa ajili ya kufanyia biashara ya kuuza vifaa vya electronics. Sehemu hiyo iwe mjini inayoelekwa na rahisi kufikika hata kwa kumuelekeza mtu. Pia sehemu hiyo iwe na ulinzi wa kutosha. Kwa atakayepata eneo hilo awasiliane nami kupitia anwani zifuatazo:-
Phone: +255789884221
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
Phone: +255789884221
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz