Natafuta scholarship ya PhD Kwa chuo cha hapa Tanzania

Inteprevist

Member
Nov 2, 2010
5
0
Wakuu nimepata admission kwa ajili ya PhD kwa chuo cha hapa ndani (Tanzania), sasa ngoma imebaki jinsi ya kupata scholarship. naomba mwenye information yeyote ya organisation inayotoa ufadhili kwa ngazi ya PhD kwa wanafunzi wanaotaka kusomea hapa Tanzania.

Asanteni kwa ushirikiano wenu
 
HESLB wanatoa mikopo kwa Shahada za Uzamili na Uzamivu kwa watanzania, lakini deadline ilikuwa tar 30 June.
 
Mkuu unaenda kusoma Phd alafu unachanganya mambo madogo hv, unasema umepata admission sasa hyo scholarship unayotafuta ya nn? Kukuweka sawa bila shaka unahtaj SPONSORSHIP.
 
Mkuu unaenda kusoma Phd alafu unachanganya mambo madogo hv, unasema umepata admission sasa hyo scholarship unayotafuta ya nn? Kukuweka sawa bila shaka unahtaj SPONSORSHIP.

Uko sahihi kwa upande mmoja, lakini usisahau tafasiri nyingine ya scholarship is 'a sum of money awarded to a student to help with living expenses, study, or travel'. Hivyo bado Inteprevist yupo sahihi kwa hicho alikoandika
 
Back
Top Bottom