Natafuta sana kitabu hiki nambieni kinauzwa wapi.

Teacher1

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
333
149
2012-06-17 15.26.20.jpg .
 
Mwalimu naomba sana ukikipata uni pm nijue bei na mahali kinapo patikana nikinunue. Huenda nikapata maneno ya matumaini.
 
Hapo patamu yaani Prof Balegu na ujanja wake wote aliingizwa mkenge na nyama ya Ulimi ya Mh. Dr Kikwete. Prof alipaswa kisubli japo kipindi kimoja cha uongozi wa Jk ndipo aandike hki kitabu. Waswahili wanasema Ada ya mja kunena mwungwana ni vitendo.
 
Aliyekiandika ka kamatwa huko marekani kwa utapeli wa kielimu anajiita Dr huku hakuhitimu
 
Hapo patamu yaani Prof Balegu na ujanja wake wote aliingizwa mkenge na nyama ya Ulimi ya Mh. Dr Kikwete. Prof alipaswa kisubli japo kipindi kimoja cha uongozi wa Jk ndipo aandike hki kitabu. Waswahili wanasema Ada ya mja kunena mwungwana ni vitendo.

Kwani Baregu ndiye aliandika au Prince Bagenda??
 
What are the contents in the said Book????

Kama Watu wanataka kusoma vitabu basi wasome vya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere(RIP). Hivi mtu unategema kitabu kilichotungwa na Rais Kiwete kinaweza kweli kukupatia vision ya kusonga mbele kimaisha kwa maana ya kiuchumi na kielimu???Wewe uliyoanzisha thread hii pengine una nasaba na Kiwete au Riz1!

Kuna kichekesho kimoja kinasema hivi: Kuna siku moja watu watatu;Mmarekani,Mjerumani na Mtanzania walikutana mahali.Baada ya kukutana mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

Mmarekani: Sisi bwana kule USA tumeendelea sana. Kuna mtoto alizaliwa akiwa hana mikono wala miguu lakini baada ya kufanyiwa utaalamu na kuwekewa miguu na mikono ya bandia jamaa ni Bingwa wa Ngumi duniani.

Mjerumani: Sisi bwana kule kwetu Ujerumani nafikiri tuko juu zaidi maana alizaliwa mtoto akiwa hana miguu kabisa lakini baada ya kufanyiwa operation kwa sasa ni Bingwa wa mbio za Olyimpiki duniani.

Mtanzania: Ah,nyie wote ni cha mtoto bwana. Hebu sikieni hii kali yake. Sisi bwana kule Tanzania alizaliwa mtoto hana kichwa kabisa. Lakini baada ya kufanyiwa maarifa na kuwekewa kichwa cha NAZI kwa sasa ndiye Rais wa Tanzania!

Wale jamaa Mmarekani na Mjerumani wakabaki midomo wazi!
Ni utani lakini unaonekana kuwa na ukweli ndani yake. Kama kweli Rais wa nchi hawezi kufikiri na kutoa maamuzi yenye mstakabali wa kuleta maendeleo na kuinua uchumi wa nchi na hatimaye kupelekea kuboresha uchumi wa mtu mmoja mmoja huyo hakika anawaza kwa kutumia kichwa cha nazi. I am sorry to say that lakini ndiyo ukweli wenyewe.

Sasa weye unayetafuta usome kitabu kilichoandikwa na Rais mwenye kichwa cha Nazi unataka upate nini kutoka kwenye kitabu hicho kama na wewe hutaishia kuwa Nazi inayotembea?? Kwanza tunataka umwulize huyo Jakaya Kiwete wako hii porojo ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ILIKUWA INAMAANISHA NINI NA IMEISHIA WAPI???

Mwenyekiti wa Taifa wa CUF aliwahi kusema kuwa pengine KIWETE alikuwa akimaanisha MAISHA BOMU KWA KILA MTANZANIA !!

Wasalaam.
 
Kitabu kimeandikwa na mtu aliye wahi kuzomewa sana pale ukumbi wa Nkrumah pale udsm akiwasilisha mawazo ya ccm kwenye mjadala wa katiba mpya. Anaitwa Prince Bagenda.

Profesa Baregu kwa namna yoyote ile asingefuatwa na magamba au kuamua kumuandikia Jk kitabu wakati tayari tumaini jipya anajua liko kwenye chama makini ambako na yeye ni mjumbe wa kamati kuu. Tumaini jipya kwa Baregu kwa wakati huo lilikuwa kwa Dr Slaa na sio kwa Jk.
 
What are the contents in the said Book????

Kama Watu wanataka kusoma vitabu basi wasome vya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere(RIP). Hivi mtu unategema kitabu kilichotungwa na Rais Kiwete kinaweza kweli kukupatia vision ya kusonga mbele kimaisha kwa maana ya kiuchumi na kielimu???Wewe uliyoanzisha thread hii pengine una nasaba na Kiwete au Riz1!

Kuna kichekesho kimoja kinasema hivi: Kuna siku moja watu watatu;Mmarekani,Mjerumani na Mtanzania walikutana mahali.Baada ya kukutan
pokea like mkuu natumia simu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom