Natafuta samsung galaxy

Samsung galaxy nini?
Simu?If so toleo gani?
Tablet? Nayo toleo gani?
 
nafikir sim mwenye nayo aseme yy ana aina gan na toleo, ss wengine twaweza vutiwa na biashara
 
Kama unahitaji Samsung galaxy tab yenye 3G,wifi, Camera,books,etc. unaweza ukani_ pm tukaongea zaidi.Nimetokanayo UK hivi karibuni tu.
 
kisimu gani na wewe cha wanafunzi hicho..nunua samsung galaxy ll kitu super amoled. ..sio hicho kisambusa hata mkononi hakishikiki

hahahahaaaa!!!
Labda mdada, vimikono vidogo, kubeba masimu makubwa kama vikombe vya chai hawezi.
 
kisimu gani na wewe cha wanafunzi hicho..nunua samsung galaxy ll kitu super amoled. ..sio hicho kisambusa hata mkononi hakishikiki
Kama bei yake ingekua inalingana ningekuelewa.Watu wananunua vitu kuendana na mahitaji pia ujazo wa pochi zao na sio ukubwa wa simu.
 
kisimu gani na wewe cha wanafunzi hicho..nunua samsung galaxy ll kitu super amoled. ..sio hicho kisambusa hata mkononi hakishikiki
mkuu kwani simu nzuri inaangaliwa Display yake tu', ingekuwa hivyo basi hata IPhone 4 inayotumia Retina Display inayokupa ~330 PPI Pixel Density kweny kioo chake ingeipiku hiyo Galaxy yako yenye Super Amoled yenye resolution ya ~217 Pixel Per Inch,, mwache jamaa aEnjoy kitu 1GHz processor kwenye Galaxy Tab yake,,,,,,, :eyebrows: :eyebrows:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom