Natafuta room mitaa ya mbezi beach

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,311
heyy people natafuta chumba na sebure au chumba tupu mitaa ya africana, mbezi beach or samaki. chumba kiwe na choo ndani
 
mie ninacho maeneo ya samaki karibia na irene kiwia kina vyumba vi2 na sebule pamoja na master
 
heyy people natafuta chumba na sebure au chumba tupu mitaa ya africana, mbezi beach or samaki. chumba kiwe na choo ndani

Maeneo hayo vp hakunaga mafuriko? angalia kuna jamaa angu alichukua chenye choo ndani mafuriko haya ya juzi mavi si yakawa yanarudi kwenye pipe ile yalitapakaa sebureni na chumbani
 
Maeneo hayo vp hakunaga mafuriko? angalia kuna jamaa angu alichukua chenye choo ndani mafuriko haya ya juzi mavi si yakawa yanarudi kwenye pipe ile yalitapakaa sebureni na chumbani

hahaaa mkuu hii inachekesha japo inatia huzuni
 
hahaaa mkuu hii inachekesha japo inatia huzuni

Jamaa room nzima ilitapakaa mavi kwa hasira akamfuata mwenye nyumba akamwambia halipi kodi mwaka mzima sijui ujenzi gani huo lile tank la maji taka lilivyo jaa na maji ya mvua likaanza kurudisha mavi kwa njia ya pipe mpaka yakatokea mavi kwenye sehemu ya kuchutama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom