Natafuta registered tution provider acca hapa tz.

Sikiliza, Kuna Financial Training Centre ambao wapo Osman Towers Ghorofa ya kwanza. Ni wazuri maanake vijana hufaulu vizuri. Hapo ni zanaki street oposite na elia complex karibu na CBE(Chuo cha biashara). Kama hela sio tatizo, karibu!
 
kama mdau alivyosema ftc ndio approved learning provider wa acca hapa dar/tz. pia wapo a3 pale karibu na umoja wa vijana maeneo ya faya ila wao sio approved.........kwingineko...ni nairobi kuna vyuo wanafundisha block release mwezi may............
 
Back
Top Bottom