Natafuta rafiki wa kiume

Ref thread yangu ya kutafuta rafiki leo ndo mwisho wa kUni pm asanteni sana matokeo hapa hapa jamvini
Kujiunga:
Join Date : 18th July 2011
Posts : 1,707

Rep Power : 24

kutafuta rafiki wa kiume 26 july 2011,halafu majibu mpaka leo bado,dah hii kali kama interview ya udom
 
Jamani we dada, ongeza kidogo muda wa maombi, mimi sikuapply!
 
bebii kuna mtu wako uliyetaka application yake nafkiri umeshampata ndo mana ulifunga topic..bora mimi sikua msindikizaji
 
Daaah!bibie mbona mda mfup cna?m ndo kwnza naona hi thread,any way nadhan kila kisichoruhusiwa huwa kinaruhusiwa kwa dharura bt leng ninalo
 
Ref thread yangu ya kutafuta rafiki leo ndo mwisho wa kUni pm asanteni sana matokeo hapa hapa jamvini

Hivi hili jukwaa limeanza lini.? Binti CV yangu inapita zote ulizopata vp niku-pm, though ddline imepita'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom