Natafuta rafiki wa kike wa kutoka naye out weekend hii-jumamosi kuamkia jumapili

Ndiyo vigezo vyangu nilivyoweka kumpata wa kutoka naye out kama wewe una vya kwako sivihitaji

Vigezo si vya kwangu umeweka wewe mwenyewe sie tumejazia nyama tu ndio ikajulikana kwamba the reason ya kumtaka huyo wa form 4 ni lugha kwani kwenye post yako hukuweka lugha mpaka mdau mmoja akakuuliza why form form 4, hapo ilikuwa angalizo flani kwa wadau wengine anaweza akawa ana imani mtu wa level flani kielimu atakuwa ni mjuzi wa english kumbe siku hizi ni utandawazi mtu anaweza akawa na vigezo hivyo kumbe amepitia katika mfumo ambao unafundisha kwa lugha nyingine
 
Ajabu ni kwamba unaweza kukuta PM yake imejaa!!!!!
Nafasi bado zipo.Nafurahi kusema kwamba nilipatapata PM jana.Baadhi walikuwa ni wake za watu na masharti yao yalikuwa ni magumu sana.Wao walitaka tukutane mchana ya Jumamosi halafu jioni warudi kwa wanaume zao,jambo ambalo tulishindwa kukubaliana.Kwa hiyo nafasi bado zipo na imebaki siku moja tu ambayo ni kesho.Warembo karibuni tukapate burudani Jumamosi hadi Jumapili
 
Haya bwana KENET niko bega kwa bega kukusidia kumpata huyo mdada.
 
Last edited by a moderator:
Haya bwana KENET niko bega kwa bega kukusidia kumpata huyo mdada.
Mdada alikuwa ni wa nguvu,nampa big up.Tulifurahia weekend pamoja na kwa kweli ulikuwa mwanzo mzuri kwetu sote japo ilikuwa ni mara yetu ya kwanza kuonana.Namshukuru sana.
 
poa hongera bwana usiache kuniupdate kwa kila kitakachojiri kati yenu please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom