Natafuta rafiki wa kike wa kutoka naye out weekend hii-jumamosi kuamkia jumapili

Aise ndani ya kuspend kuna vigezo gani? na wewe pia hujasema una elimu gani mpk utafute mwenye elimu.
Embu tujuze ili tufahamu .
Mimi nina Elimu ya Dunia kama an added advantage mbali na ile ya chuo.
 
Wewe ni PM kwa mawasiliano zaidi.Lakini kabla sijafika itabidi nikupe maelekezo ukae mahali ambapo ni rahisi kwa wewe kuonekana ili kabla hatujaonana nikuone kwanza mimi nione kama wewe una vigezo ninavyovitaka,kama huna nitoke nduki kabla hatujafahamiana.Uko hapo.
wewe mshamba naona ...wewe unajua vipi unaqualify sana kwangu? inaelekea una mambo ya kitoto ...nilitaka kuja unipe hata michongo ya china niwe nashusha macontena ..naona wewe umekaa kikilaza zaidi kwa iyo post yako...
 
Samahani kama nimekukwaza,lakini hii post yangu haiko kwa ajili ya kuongelea michongo/mambo ya biashara,hapa ni kwa ajili ya mahusiano,mapenzi na mapendo
 
mpenzi wa siku moja...hakuna mtu anajiuza humu
 
inabidi tumtume mtu athibitishe
feki ,mchina mtupu cheki alivonijibu hii

Wewe ni PM kwa mawasiliano zaidi.Lakini kabla sijafika itabidi nikupe maelekezo ukae mahali ambapo ni rahisi kwa wewe kuonekana ili kabla hatujaonana nikuone kwanza mimi nione kama wewe una vigezo ninavyovitaka,kama huna nitoke nduki kabla hatujafahamiana.Uko hapo
 
Nilikuwa safarini China ndio nimerudi hapa Bongo.Niko mpweke sana natafuta msichana mrembo asiwe mnene sana umri kuanzia miaka 21-35 wa kula naye starehe weekend hii kuanzia Jumamosi tarehe 15 hadi Jumapili tarehe 16 .Msichana mwenyewe awe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea.Awe anaishi hapa Dar.Aliye tayari naomba ani PM mapema tuanze mikakati ya kupanga jinsi ya kukutana.

quote_icon.png
By MadameX
Kwanini usirudi kwa huyu, ukaokoa muda?

Yuko mbali kashapata jiko tayari.

Hivi anayepata jiko ni "He" or "She".. nadhani wengi wakisema amepata jiko wanamaanisha aliyepata jiko ni "He"..

Sasa mtu ambaye rafiki yake amepata jiko.. atatafuta replacement ya He or She?
 
quote_icon.png
By MadameX
Kwanini usirudi kwa huyu, ukaokoa muda?

Hivi anayepata jiko ni "He" or "She".. nadhani wengi wakisema amepata jiko wanamaanisha aliyepata jiko ni "He"..

Sasa mtu ambaye rafiki yake amepata jiko.. atatafuta replacement ya He or She?
Tatizo la kukariri vitu,Kajifunze vizuri Lugha.Mimi natafuta She.
 
ee bwana ulikuwa mji gani huko China? na umesema ulikuwa safarini China au ulikuwa unaishi China umekuja likizo...
 
Sasa hiyo one night stand inahusu nini na elimu, nenda kwa mtogole aisee

Hapo Kwenye Red, kwa Mtogole anaweza kung'utwa Roba ya Mbao, si bora aende pale Ambiance tu au Meeda!!!
ya nini kututangazia huku JF? au ndo unaturingishia ulikuwa China???
 
Nilikuwa safarini China ndio nimerudi hapa Bongo.Niko mpweke sana natafuta msichana mrembo asiwe mnene sana umri kuanzia miaka 21-35 wa kula naye starehe weekend hii kuanzia Jumamosi tarehe 15 hadi Jumapili tarehe 16 .Msichana mwenyewe awe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea.Awe anaishi hapa Dar.Aliye tayari naomba ani PM mapema tuanze mikakati ya kupanga jinsi ya kukutana.
Wewe mkaka, umepima? Au unadhani ukitutishia China tu tutajiloa. Jaribu mtaa wa Ohio mida ya kuanzia saa 2 usiku utawapata wengi.
 
ee bwana ulikuwa mji gani huko China? na umesema ulikuwa safarini China au ulikuwa unaishi China umekuja likizo...
Huna haja ya kujua nitakayempata ndiye tutajulishana siku tutakapokutana kuondoleana upweke.
 
Wewe mkaka, umepima? Au unadhani ukitutishia China tu tutajiloa. Jaribu mtaa wa Ohio mida ya kuanzia saa 2 usiku utawapata wengi.
Kupima nini,Kwani tukikutana ni lazima ku do.Hata kama tuta do si mpaka tukubaliane tuta do namna gani? Upo hapo.
 
Hizo zilikuwa story zangu kwa modem nikiwa sekondary, kila nilopotoka likizo story zilikuwa kama hivi; basi kuna siku baba aliondoka nyumbani akasahau kuficha funguo ya gari, mimi na bro wangu anayesoma china tukachukua gari mpaka kwa rafiki yetu fulani hivi. wewe saa ngapi hatujakutana na mama njiani akiwa na gari yake ya kazini. tulidhani hajatuona kumbe kashatuona. Tulirudisha gari haraka nyumbani. baba na mama walipokuja mimi nilijificha nyuma ya friji yetu na bro akajificha nyuma ya kabati kubwaa. baba akatoa bastora na kusema njooni hapa kabla sijawatafuta............. tukimfuata na kumuomba msamaha alikuwa akifurahi na kutupa pesa kila mmoja wetu. ndio maana mimi nikirudi likizo huwa nakuwa na pesa nyingi sana. maana baba ukimuomba msamaha tu anakupa pesa. We ngoja jumapili tutoroke twende mjini tuka-spend. HAPO BADO MODEM HAJAINGIA KINGI TU.
 
Utoto unakusumbua Akikukubalia ni mjinga.Kwani vitu vya baba yako ni vya kwako? Unaonyesha ulivyo kilaza.
 
Kilaza ni wewe jamaa ambaye unatafuta modem wa kutoka nawe kwa swaga za nimerudi juzi toka china. Nimejaribu kukuonyesha jinsi unavyotumia sela za zamani sana, zimepitwa na wakati. Hizo tulitumia miaka ya 80's - 90's tukiwa sec.

Nio maaana umeshindwa kuwapata wanaokuzunguka unakuja kubata-bata hapa jamvini. Kwa taarifa yako wa jamvini ni wajanja mara 10 zaidi ya hao uliowashindwa mtaani kwako. Kilagabau wewe
 
Kilaza ni huyo jamaa ambaye anatafuta modem wa kutoka nae kwa swaga za nimerudi juzi toka china. Nimejaribu kumuonyesha jinsi anavyotumia sela za zamani sana, zimepitwa na wakati. Hizo tulitumia miaka ya 80's - 90's tukiwa sec
Hizo za siku hizi zikoje.Kwanza inaonyesha wewe bado mtoto mdogo nikibishana na wewe ni kupoteza wakati nisije kuwa nabishana na mtoto wa chekechea humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom