Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

ayaaaaa.....nakuPM sasa hivi.....
ila namba 3 itaniangusha....lakini tutarekebisha......
Preta unamkumbuka cousin yangu aliyelamba gharasha kuleeeeeeeee, kila cku namwambia ajiunge jei efu hataki, si unaona sasa, ila nitampa email add ya huyu kaka! lol
 
Last edited by a moderator:
Preta unamkumbuka cousin yangu aliyelamba gharasha kuleeeeeeeee, kila cku namwambia ajiunge jei efu hataki, si unaona sasa, ila nitampa email add ya huyu kaka! lol
cacico; Preta alikuwa anakoleza soga tu. Sijamwona teeeeeeena. Nadhani jamaa yake kampiga stop alipomwona mitaa hii. Nilitumiwa PM ya Mkwara kuwa alishamvisha pete. Eti . . . jamani!
 
Last edited by a moderator:
cacico; Preta alikuwa anakoleza soga tu. Sijamwona teeeeeeena. Nadhani jamaa yake kampiga stop alipomwona mitaa hii. Nilitumiwa PM ya Mkwara kuwa alishamvisha pete. Eti . . . jamani!
Preta mtu mzuri, na ana maamuzi jamaa yake hawezi kumfikiria hivyo, alichezwa unyago chini ya bahari huyo, chezeiya watu na mazindiko yao, kaka Cool Gentleman nitaongea na cousin yangu usijali, atakutumia email, natumaini utafanikiwa!
 
Last edited by a moderator:
Preta mtu mzuri, na ana maamuzi jamaa yake hawezi kumfikiria hivyo, alichezwa unyago chini ya bahari huyo, chezeiya watu na mazindiko yao, kaka Cool Gentleman nitaongea na cousin yangu usijali, atakutumia email, natumaini utafanikiwa!

Mimi sitaki mambo ya mafiga matatu, nataka jiko langu la peke yangu la kupikia mwenyewe. Kwani huyo Cousin niaje?
 
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously

hizo sifa za no. 3,4 wewe unazo? au unataka tu mwenzako awe nazo kumbe wewe huna hata moja? unajua wanaume wengi wa kitz wanapenda mabinti waliojiheshimu hata kama wao ni mapepe? then unamaanisha nini sifa no. 7? ndoa au kuzini kwa muda mrefu? mbona hakuna malengo hapo. mafanikio mema kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom