Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Jamani mi tano inaniacha kiduchuu na mbili kidogo cjajichubua hata kidogo ila mmmhhh.
shikolo unaweza kujibu maswali yafuatayo?


  1. Umri wako?
  2. Umbo lako na Uzuri wako ukoje?
  3. Tabia zako zikoje?
  4. Unajiamini? malengo na ndoto zako za maisha ni zipi?
  5. Elimu yako?
  6. Are you ready for relationship au una mtu wako unapima upepo tu?
  7. Nini matarajio yako katika relationship


Unaweza kunijibu kwenye PM ukipenda.
 
Last edited by a moderator:
Jamani napata PM zikiniuliza kama nimeshapata. Bado sijapata. Nakaribisha mawasiliano.
 
Ukihitaji kupata Picha yangu na maelezo ya ziada, tafadhali nitumie barua pepe yako. Barua pepe yangu ni: gentleman.waukweli@gmail.com
 
Wadada wa JF

Naomba nitoe angalizo la sivyo zoezi hili nitaliona gumu sana. Wachache ambao nimeweza kuwatumia picha na details zangu wanaanza kunigeuka kuwa wao hawanifai na wanadhani mimi eti "Niko juu" sana.

Jamani katika sifa zangu sijaongelea juu ya Mdada ninayehitaji lazima awe matawi ya juu. Na wala as a matter of fact mimi si matawi ya juu kama ninavyodhania. I am just a cool humble guy trying to search for a right partner.

Naomba msijisikie wanyonge la sivyo zaoezi litakuwa gumu kwangu au itabidi nilisitishe niwafuate mtaani, maofisini, misikitini na makanisani. Bahati mbaya hilo litakuwa zoezi gumu zaidi pia.
 
relax bwana utapata tu mbona... watu wapo wengi

Haaaa haaaa umenikumbusha mambo ya Kidumu na Msechu . . . Relax nitarejea mama.

Of course mambo mazuri hayataki haraka.

Ukimwona yule binti mwambie nasubiri Picha. Ila usimwambie mtu . . . lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom