Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

mizinga ndo nini? Pombe kali? Au wine? Mimi binafsi sinywi pombe.
mimi pia mlokole sinywi hata chai huto[pata hata hasara ya sukari...mizinga ni kunipa hela ndogondogo mara kwa mara salooni ...pocket money ..shopping ...etc
 
safi napenda sana watoto wa kiume....ni rahisi kuishi nao

Asante sana. lakini hujafunguka bado. Jieleze basi. Njoo chemba kwenye PM au jieleze hapa. Ningependa kukusikia unakidhi vipi vigezo 1 hadi 7 na kama una maswali zaidi.
 
mimi pia mlokole sinywi hata chai huto[pata hata hasara ya sukari...mizinga ni kunipa hela ndogondogo mara kwa mara salooni ...pocket money ..shopping ...etc
Smile hilo si tatizo. Ila mpango mzima ni kumfanya huyu mwenzi awe mjasiliamali na hivyo kujijengea uwezo wa yeye kujitegemea ili kuepuka mapenzi ya material things. Issue ni kuwa akishakuwa na uwezo wa kumudu mahitaji yake, mapenzi bado yatakuwepo?
 
Last edited by a moderator:
asante sana. Lakini hujafunguka bado. Jieleze basi. Njoo chemba kwenye pm au jieleze hapa. Ningependa kukusikia unakidhi vipi vigezo 1 hadi 7 na kama una maswali zaidi.
mimi pm yangu mbovu mimi vigezo vyote ninavyo ni wewe tu ...
 
mambo mengine yatajiset automatically bwana wewe fanya nilivokuambia bwana...

Ukipewa utataka tena, tena na tena ukipewa utataka tena, tena na tena . . . .

Nimekupata, nimekusoma. tayari jibu la haja nimeshatumwa. Zingatia maelekezo. masharti na Vigezo kuzingatiwa.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom