Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

Mimi ni msichana wa miaka 25, mrefu, mweupe, mkristo, sina mtoto ni degree holder na kwa sasa nimeajiriwa, natafuta rafiki wa kiume ambaye baadae tunaweza kuwa mume/mke kama itafaa. vigezi vyangu ni awe mtu mzima sana kuanzia miaka 35 mpaka hamsini, hata akiwa na watoto wa rika langu hilo sijali, awe mjane au aliachana na mke wake, Awe na kazi halali inayomuingizia kipato(status). Nina imani mtu wa age/aina hiyo ameshakomaa kiakili na anaweza kuanzisha mahusiano.

NB: 1. Sio kwamba mimi sio mrembo au nimekosa mwanaume hapana, kazi yangu inanibana kiasi kwamba ni ngumu kukutana na watu wa aina hiyo.

2. Muda mwingi ninapopata nafasi nikiwa nje ya kazi nautumia nikiwa nyumbani huwa sipendi kutoka hivyo muda mwingi nakuwa nyumbani/mpweke. Mimi sio mtu wa kujichanganya.

3. Mimi sio tegemezi ila kama mwanaume wa kweli unahitaji kumuhudumia mpenzi wako/ kama tutafikia huko kadri utakavyoona inafaa.

4. Mimi mpambanaji hivyo atakayejitokeza awe wa aina hiyo kama yangu/ au tayari alishapambana.

5. Nampa mwaka mmoja wa kunichunguza na kujua tabia zangu kama atatamani tuwe wapenzi/mume na mke.

6. I feel more secured nikiwa kwenye mahusiano na mtu mzima.

KARIBU PM.
unapatikanaje bana
 
so vp kuhusu sie wenye vigezo mana nami ni mpambanaji na natafuta mpenzi mwenye sifa mahsusi kama zako swadakta nimepata..so i need you miss.
 
Hahahhh ila watu wa jf mwenzenu yupo serious anataka mchumba nyie mnaleta utani
Afu anahangaika na wazee, au hajui mda wa kuishi kwa Mtanzania umeshuka hadi miaka 55 kama mtu huyo hajapatwa na magonjwa sugu( yasiyotibika), au anataka awe mjane mapema!!!
 
Teh...teen...teeeh...teeeeh....ngoja ahangaike na hao wazee wake, na siku hizi waongo kama nn.
Yawezekana ndo hitaji lake hilo mkuu so tumpongeze kwa kupenda baba na babu zake kuwa wanaume wa kumuweka ndani yeye
 
Afu anahangaika na wazee, au hajui mda wa kuishi kwa Mtanzania umeshuka hadi miaka 55 kama mtu huyo hajapatwa na magonjwa sugu( yasiyotibika), au anataka awe mjane mapema!!!
Hahahhh nyie hawataki bado watto
 
53801ae14317c7586b817037b6c7659d.jpg
mahaba ntafune
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom