Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

Anora

Member
Sep 17, 2016
30
40
Mimi ni msichana wa miaka 25, mrefu, mweupe, mkristo, sina mtoto ni degree holder na kwa sasa nimeajiriwa, natafuta rafiki wa kiume ambaye baadae tunaweza kuwa mume/mke kama itafaa. vigezi vyangu ni awe mtu mzima sana kuanzia miaka 35 mpaka hamsini, hata akiwa na watoto wa rika langu hilo sijali, awe mjane au aliachana na mke wake, Awe na kazi halali inayomuingizia kipato(status). Nina imani mtu wa age/aina hiyo ameshakomaa kiakili na anaweza kuanzisha mahusiano.

NB: 1. Sio kwamba mimi sio mrembo au nimekosa mwanaume hapana, kazi yangu inanibana kiasi kwamba ni ngumu kukutana na watu wa aina hiyo.

2. Muda mwingi ninapopata nafasi nikiwa nje ya kazi nautumia nikiwa nyumbani huwa sipendi kutoka hivyo muda mwingi nakuwa nyumbani/mpweke. Mimi sio mtu wa kujichanganya.

3. Mimi sio tegemezi ila kama mwanaume wa kweli unahitaji kumuhudumia mpenzi wako/ kama tutafikia huko kadri utakavyoona inafaa.

4. Mimi mpambanaji hivyo atakayejitokeza awe wa aina hiyo kama yangu/ au tayari alishapambana.

5. Nampa mwaka mmoja wa kunichunguza na kujua tabia zangu kama atatamani tuwe wapenzi/mume na mke.

6. I feel more secured nikiwa kwenye mahusiano na mtu mzima.

KARIBU PM.
 
Nilifikiri maombi yangu yamejibiwa kumbe bado, vigezo cna ila najitaji mke....
Unaishi wapi?
 
Mimi ni msichana wa miaka 25, mrefu, mweupe, mkristo, sina mtoto ni degree holder na kwa sasa nimeajiriwa, natafuta rafiki wa kiume ambaye baadae tunaweza kuwa mume/mke kama itafaa. vigezo vyangu ni awe mtu mzima sana kuanzia miaka 35 mpaka hamsini, hata akiwa na watoto wa rika langu hilo sijali, awe mjane au aliachana na mke wake, Awe na kazi halali inayomuingizia kipato(status). Nina imani mtu wa age/aina hiyo ameshakomaa kiakili na anaweza kuanzisha mahusiano.

NB: 1. Sio kwamba mimi sio mrembo au nimekosa mwanaume hapana, kazi yangu inanibana kiasi kwamba ni ngumu kukutana na watu wa aina hiyo.

2. Muda mwingi ninapopata nafasi nikiwa nje ya kazi nautumia nikiwa nyumbani huwa sipendi kutoka hivyo muda mwingi nakuwa nyumbani/mpweke. Mimi sio mtu wa kujichanganya.

3. Mimi sio tegemezi ila kama mwanaume wa kweli unahitaji kumuhudumia mpenzi wako/ kama tutafikia huko kadri utakavyoona inafaa.

4. Mimi mpambanaji hivyo atakayejitokeza awe wa aina hiyo kama yangu/ au tayari alishapambana.

5. Nampa mwaka mmoja wa kunichunguza na kujua tabia zangu kama atatamani tuwe wapenzi/mume na mke.

6. I feel more secured nikiwa kwenye mahusiano na mtu mzima.

KARIBU PM.

Dada umepotea njia,huku kuna mburura tupu!
 
53801ae14317c7586b817037b6c7659d.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom