Natafuta Rafiki, Mchumba

Kuna umuhimu wa kuwa na elimu jamani, ndo maana nikaomba awe na degree, mimi niko naishi ughaibuni jamani, hivyo nategemea mke pia aje kuishi uku, sasa kama elimu itakuwa chaka tutapata shida kupata kazi, la sivyo ataishia kufanya kazi za ajabu ajabu, wakati mke wangu nataka afanya kazi fresh uku tunatafuta mkwanja wa kumuupdate, au siyo?
poa kaka

Mazee suala lako linataka sana subira na hekima, kuweka vigezo kwenye masuala ya ndoa ni very hypothetical, kumbuka kuwa na mke ni kuwekeana agano hadi mwisho wa maisha yenu (Kitabu vya dini -kikristo) Upendo ni kitu muhimu sana anaweza kuwa na vigezo vyote hivyo siku ikatokea umekatika miguu mama ataanza...ningekushauri bwana mdogo usitafute mke kama unatafuta shamba ama kununua nyama buchani...mwombe Mungu akupe busara na akuchagulie mke...elimu, GPA does not work.....ushauri kuwa na Girl friend ukiona mnaelewana owa...kuna rafiki yangu sasa ni prof aliowa bar maid na wapo poa happily.

Usipokuwa makini ndoa inaweza kukuchanganya...ukawa kama mimi kaka yako sitaki kuowa, samahani kama nimetoka nje ya mstali nimejisikia kukupa walau mawaidha
 
BabaH nikupongeze kwa mawazo hayo mazuri, kwa sababu kuwaza tu kuoa tayari unakuwa umeshapiga hatua moja kwenda mbele lakini unapotoa vigezo tayari katika ulimwengu wa Roho unamzuia Roho kufanya kazi kwa sababu kila mwanaume hapa Duniani ana mke wake aliyeandaliwa na Mungu, sasa unapotoa vigezo unazuia upako ulipo juu yako na mwenzako aliyeandaliwa kwa ajili yako.

Mimi sijui wewe Dini gani lakini unapotaka mchumba kama kuna Binti unamfikiria kuwa anaweza kuwa Mke wako basi Mshukuru Mungu kwa ajili ya huyo Binti unaemfikiria lakini kama Binti hayupo muombe Mungu akupatie yule aliyemuandaa kwa ajili yako Usitoe vigezo.

Kumbuka nyumba inajengwa na watu wawili, hivyo ukitaka msomi basi msomeshe wewe mwenyewe akifika kwako Vinginevyo utakaempata hatakuwa na pendo la dhati kwako. Nafikiri nimeeleweka kama hujaelewa niko tayari kufafanua tena.
 
Ashapatikana man!
Ndo tunamaliza mambo madogo madogo ya hapa na pale!
Weka tangazo lako, wapo kibao tu!
Pitia thread hii toka mwanzo, utawaona tu.
 
Ashapatikana man!
Ndo tunamaliza mambo madogo madogo ya hapa na pale!
Weka tangazo lako, wapo kibao tu!
Pitia thread hii toka mwanzo, utawaona tu.

Hongera sana. Mimi ngoja nifikirie jinsi ya kutoa tangazo.
Lakini cha muhimu ni ajue tu kupika. Sanasana ugali (uwe wa udaga, mahindi au mtama) kwa mboga ya samaki na mulenda pembeni.
 
There you are!
Kanyanga twende!
Kila la kheri!
 
Hongera, IDIMI. wengine tusingeweza kuapply manake qualifications zingine unazozitaka hatuna.

Umri IDIMI Umri! I am 33. lakini najua vigezo vingine vyote navimudu.

Hongera kwa kuweka tangazo hili. you are brave. sio wanaume wengi who can do what you did. alafu msichana ukiishi Dar ni vigumu kukutana na wanaume wa maana!

jn, ina maana dar hakuna wanaume wa maana? sitaki kuamini kama mi pia sio wa maana, walau kwa vigezo vya kawaida kabisa? Au ni qualifications kama ulivosema apo juu bibie?
 
IDIMI...eeeeh. IDIMI upoooooooo??
Mimi nimemaliza sasa. Nimempata, au sijui kanipata hahaaaaaaaaa. Ila kila nikimtumia ujumbe napata meseji 'email unayotuma wa sasa haipatikani, tafadhali jaribu tena badae'

mkuu ndo maana akaiweka uko kwa kina michuzi, hapa angeweka asingepata hiyo publicity aliyopata! namwonea imani kweli

Toto La Kichagga

mkuu ndo maana akaiweka uko kwa kina michuzi, hapa angeweka asingepata hiyo publicity aliyopata! namwonea imani kweli
 
Nimeona, lakini mbona IDIMI ameweka masharti yake, kwanini hajashambuliwa? Lakini Manka anashambuliwa? Mambo ya Beijing hayo.
 
NEWTON LAW OF LOVE
Universal law: Love can neither be created nor be destroyed, only it can transfer from
one girlfriend to another girlfriend with some loss of money.

First law: A boy in love with a girl, continue to be in love with her and a girl in love with a boy, continue to be in love with him, until or unless any external agent(brother or father of the gal) comes into play and break the legs of the boy.

Second law: The rate of change of intensity of love of a girl towards a boy is directly proportional to the instantaneous bank balance of the boy and the direction of this love is same to as increment or decrement of the bank balance.

Third law: The force applied while proposing a girl by a boy is equal and opposite to the force applied by the girl while using her sandals!
 
Kwi kwi kwi!
There you are!
Deal.

by the way,
Am also looking for a "girlfriend".
Umri wangu ni 25, nafanya kazi, am single but searching.
Ni mkristo, mchapa kazi kwa bidii, serious sometime...especially at work. Loving and charming.
She should be not more that 24, but she has to be bright, understanding and she should be working somewhere. Sitaki golikeeper. Elimu yake iwe kuanzia form six na kuendelea, ila kama ni form four "liva" basi at least awe ameenda vocational college ama training yeyote. Awe na uwezo wa "kusoma, kuelewa na kuandika" kwa lugha ya kiingereza.
Asiwe kibonge, wala asiwe muoga kuongea na watu.
Vigezo vingine pia ni "negoshabo".
Kwa yeyote anayefiti hapo, tafazali ni pm tu kama kawa na mi nitajibu. Usaili utafanyika mara moja baada ya kupoke ujumbe wako.
Asante sana, naomba kuwasilisha.
 
ha ha hahhhh!
that was the best joke of the day which holds lots of truth. The world today is driven by materialism. Love with your eyes wide open.
Good luck wadogo zangu.
 
IDIMI...eeeeh. IDIMI upoooooooo??
Mimi nimemaliza sasa. Nimempata, au sijui kanipata hahaaaaaaaaa. Ila kila nikimtumia ujumbe napata meseji 'email unayotuma wa sasa haipatikani, tafadhali jaribu tena badae'

Toto La Kichagga


Hongersa sana Kaka!
Usikonde mtu wangu, kama nilivyosema kwamba hapa JF hakiharibiki kitu.
Kila la kheri, nitakukumbuka katka ufalme wangu.
 
Nimeona, lakini mbona IDIMI ameweka masharti yake, kwanini hajashambuliwa? Lakini Manka anashambuliwa? Mambo ya Beijing hayo.

Kwi kwi kwi!
Manka kazidi, mie sikutaka mtu anipe CV yake, sikutangaza kwamba nina gari ama nyumba, wala sikutaka huyo mtarajiwa awe navyo vitu hivyo, kwani sivihitaji.
Manka anatafuta kujulikana tu, kwani wengi tumeishi nje ya nchi na kusoma shule za bei juu, sasa cha ajabu kipi? Sijioni kama nipo tofauti na Wabongo wengine hata kidogo.
Nimeona madongo kwake, nimecheka sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom