Natafuta Rafiki, Mchumba

Naona wengi wanachenguka na vigezo nilivyokuwa nimeviainisha, wengi wamelalamikia kigezo cha umri kwamba kinawabana, labda nipunguze.

IDIMI, Mimi ni yule gerofrendi uliyekuwa unamtafuta, Nimefikisha sifa zote sasa. Umri nimepunguza, From now on, I'm 25yrs instead of 33yrs, just for you (Imekaaje hiyo). Sifa nyingine zote nilikuwa nazo tangu mwanzo, hilo la umri tu ndo lilikuwa tatizo, sioni hasara kupunguza, Unasemaje sasa?
 
Hee mdada naona umeamua haswaaa kushikamana. Hivi kumbe hata miaka ni ruksa kupunguza ukiona umezidiwa??? kweli hii karne nyingine kabisaaa. kila la heri.
 
kwi kwi kwi!
Heri wewe umesema. Ningesema mimi yangenikuta ya kunikuta.
 
Sasa mzee unasemaje? mbona humpi jibu bibie? au tayari umempa kwa PM? haya , mkifikia mahali pazuri tuambieni tujisachi mifuko mapemaaaa kuwaunga mkono. Kila la baraka na heri.
 
Ndugu yangu,
Ujumbe aliouandika huyo mheshimiwa hapo juu kuja kwa Pm yangu ni tofauti sana na huo hapo juu, ndio maana nikakaa kimya.
Long Live Idimi.
 
Mkuu wameanza kukuzidi nini? Unapata kila aina ya PM.
Halafu bado hujapata? Au we unatafuta zaidi ya mmoja. (joke)
 
Mkuu Roy,
Nimekutana na vioja vingi sana huko kunako Pm, kwani wamekuja wasanii kibao sana. Wengine hawana lengo la hicho ninachokitaka, ila wana sababu zao binafsi za kutaka contacts.
Kwa sababu hizo basi, hajapatikana mtu mwafaka!
Duniani kuna mengi sana!
 
Naona utafute utaratibu wa kuwaona physically, hao waliokuandikia PM, vinginevyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni rahisi sana. Nakupongeza kwa kushtukia deal mapema. Hata hivyo usikate tamaa hapa JF wapo warembo very serious & determined najua unaweza bahatisha vuta subira!
 
Mkuu Roy,
Nimekutana na vioja vingi sana huko kunako Pm, kwani wamekuja wasanii kibao sana. Wengine hawana lengo la hicho ninachokitaka, ila wana sababu zao binafsi za kutaka contacts.
Kwa sababu hizo basi, hajapatikana mtu mwafaka!
Duniani kuna mengi sana!

Pole mkuu!
Usisahau kula nanasi yahitaji nafasi. No pain no gain.
May be something very good will come out of this.
 
Nilisahau swali la msingi IDIMI, hivi kuna wale ambao tunawajua wapo nje ya hiki kiwanja ila TBS safi kabisa kila kigezo wametimiza na some wamezidi kidogo kwa ubora. Je tunaweza kuwabonyeza wajaribu hiyo bahati yao? watumie mawasiliano gani mzee kukupata? au hii offer ni kwa ajili ya members wa JF tu? Samahazi wazee sio kama nafanya ukuwadi ni maoni tu!!!!
 
Bila hofu,
Yeyote aweza kuomba nafasi.
Niliweka mawasiliano hapo juu, huenda hujaona.
idimi@jamboforums.com, ama unaweza ku-pm
 
Mkuu Roy,
Nimekutana na vioja vingi sana huko kunako Pm, kwani wamekuja wasanii kibao sana. Wengine hawana lengo la hicho ninachokitaka, ila wana sababu zao binafsi za kutaka contacts.
Kwa sababu hizo basi, hajapatikana mtu mwafaka!
Duniani kuna mengi sana!

Duniani kuna mambo mengi, tena sana, ushauri wangu ni huu endelea kuvuta subira atapatikana tu kama kweli umedhamilia, waswahili wanasema subira yavuta heri. Maadamu ulitangaza hapa tutaku-PM hadi utashangaa

All the best!!!
 
Hallow wana JF
Natafuta Mchumba wa Kike, Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 26 natafuta mchuma wa kuoa. Please naomba usitume message za kukejeli, ni njia mojawapo ya kupata familia hivyo usishangae please

Sifa zangu
Age 26
Citizen Tanzania
Education Msc Degree in Software Engineering
Working Microsoft Company UK

Sifa za Mchumba
Age 22-25
Citizen Tanzania
Education Priority Degree
Color Not periority

Ok, anyone who is interested with me, please send me a private message in my JF inbox please, I will contact you.
Cheers!!
n85600793_30146714_7533.jpg
 
Nayajua haya maesabu kuliko unavyofikiria wewe, hizo ni hesabu za mtaani wala hazinisumbui, kama unadhani weman ni matatizo, wewe umetoka wapi?
Niliomba kuwa usifanye Jokes please, au ndo unawasilisha ujumbe?

eeh bwana kama kweli uko serious tuwasiliane kwenye PM naweza kukupigia pande kwa watoto wa bongo safi ambao wamekula shule na degree wanazo...ushindwe wewe tu bwana

Kishaju....shajuka
 
Hallow wana JF
Natafuta Mchumba wa Kike, Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 26 natafuta mchuma wa kuoa. Please naomba usitume message za kukejeli, ni njia mojawapo ya kupata familia hivyo usishangae please

Sifa zangu
Age 26
Citizen Tanzania
Education Msc Degree in Software Engineering
Working Microsoft Company UK

Sifa za Mchumba
Age 22-25
Citizen Tanzania
Education Priority Degree
Color Not periority

Ok, anyone who is interested with me, please send me a private message in my JF inbox please, I will contact you.
Cheers!!

All the best Baba H
Upweke noma sana.
Hopefully utapata, kwani JF hapaharibiki kitu.
Idimi
 
kIJANA wangu mbona SASA umebana mno hapo kwenye age? ungeanzia japo 19-25 kidogo ingenisaidia kujua kwa huyu second born wa my wife anawezabahatisha au vipi? Hata hivyo yeye yupo chuo anamalizia mwaka huu. Tuwasiliane.
 
Babah vuta subira kitaeleweka.

GT yeye hajui matatizo ya vijana. siku hizi kutafuta wachumba ni noma! Inasumbua.

Ila mkubwa kisomo mbona kiko juu mno? vipi ukipata dada wa Usukumani mwenye tabia njema na diploma yake ya ualimu ya pale Butimba huwezi fikiria cv?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom