Natafuta rafiki awe kama ndugu yangu!

Niwazi watu ni wengi sana huwezi kuwaona wote na wote hawawezi kuwa marafiki zako, lakini kuna wale wachache wenye sifa za urafiki ambao hao wametawanyika huwezi kuwaona wote lakini kwa kutumia jukwaa hili bila shaka utapata marafiki wema na wengi
Mungu na atimize itaji la moyo wako dada.
 
Rafiki anatafutwaje kwa vigezo??Pia wadau wengine wanasema kuna marafiki wanafki mtu anawezaje kuwa mnafki wakati hakujui??
 
Niwazi watu ni wengi sana huwezi kuwaona wote na wote hawawezi kuwa marafiki zako, lakini kuna wale wachache wenye sifa za urafiki ambao hao wametawanyika huwezi kuwaona wote lakini kwa kutumia jukwaa hili bila shaka utapata marafiki wema na wengi
Mungu na atimize itaji la moyo wako dada.

Je wewe unaweza kuwa rafiki?
 
Marafiki utawapata wengi sana , wapo watakao jifanya wazuri wapo watakao kusaidia ila kuwa makini sana.
 
Hi, mimi nangefurahi kuwa mmoja wa rafiki yako kama ndugu, na tungeanza kwanza kwa kuwasiliana kwa sms au emails. And by the way je wewe ni mama au baba? unaishi wapi? ni mwajiriwa au unajiajiri au ni mama wa nyumbani? Una watoto (if so our kids could also become friends). Jibu na simu namba au email address.
 
Invitation yako nzuri sana. Hongera sana kwa kufunga kipindi cha kwaresima uzidi kutuombea wakosefu maana hakuna mtu mkamilifu ama sivyo tutamfanya Mungu kuwa muongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom