Natafuta rafiki awe kama ndugu yangu!

sidhani kama kuna aliyepinga hapa tunajaribu kumuelekeza marafiki gani aanze nao as for her case anataka atakaekuwa kama ndugu!tunao marafiki ndio but tunajua yupi rafiki yupi mnafiki!marafiki wazuri na wabaya ni kama mkono wa kushoto na kulia lazima ypte itumike kwa kazi tofauti tofauti,so we all need both types of friends!
JF raha sana, yaani hapa watu wanapinga tu oooh marafiki wabaya mara marafki wanafiki, ukiangalia profile zao wamejaza marafiki kibao yaani nashindwa kuelewa hapa!:sleepy::sleepy:

Mpendwa umeweka masharti kabla hata ya urafiki... lakini sio mbaya mimi kama unavoniona nitakutafuta hopefully tutakuwa marafiki wema!!

Hi egyps-woman,
milele amina,pole kwa mfungo wa kwaresma.
am the one who you were looking for!
just contact me if can you mean what asked for.

Mmmh! Kila la heri katika utafutaji wako...

Wengine sie tulisha tendwa na ubest hatuna hamu

I cant even remember the last time nilim-consider mtu rafiki

especially wadada...mmmh! tewali!!

my best frnd wa kike ni mdada,3 yrs older na tumekuwa marafiki for 16 yrs now.tunakumbushana kuwa haijawahi kutokea tukagombana(like in shouting spree) wala kununiana.tunapeana mawazo na kila mmoja ana uhuru wa kuchukua ushauri ama la!my take is,being friends is letting be!unamjua mwenzio udhaifu wake na mnachukuliana kwa upendo.nae anajua kabisa kuwa hili nitamshirikisha rafiki yangu at this point.Tuko kama ndugu,na kuna mambo ambayo b4 involving family tunayajadili kwanza.good friends ar out there,if it was meant to be utashangaa!

Well, pole dadaa: nahisi kama unasumbuliwa na ukiwa flan vile!

Mimi nimekulia katika extended family; Tumezaliwa tisa kwa mama mmoja, broda wetu mmoja kutoka kwa mama mwingine (mzee wetu alikuwa fiti enzi zake!), Imagine wote ndani ya nyumba moja kuuubwa!...liishi kwa furaha tele. Nakumbuka hata baba yetu alipendana sana na ndugu zake, mama yetu alipendana sana na kaka yake wa pekee! Likizotyme ilikuwa furaha tele, either ndugu wengi sana walifika kututembelea (wakiwa na familia zao!), au sisi tulienda kuwatembelea! In short we ware one huge and happy family.

Wakati huo skujua kama sku moja tutasambaratika (i feel tears!), wengine hawapo tena dunian.........!!....!!!(...painful! RIP) na wale ambao badoo tuppo kila mtu ana maisha yake: kila mmoja amefuata njia ambayo anaona ni nzuri kwake binafsi! mzee wetu amebaki mpweke sana, mke wake is no more, na sisi wanae tuko mbali sana!!! Nikikumbuka uwa naumia sana: those good old days!

Leo hii nina familia yangu, nina marafiki (My Wife H, My son Jr. and of course my best friend Den Chi!), watu hawa nawapenda na nawathamini sana hapa duniani, wao ndy wanafahamu kuwa leo mudi yangu si nzuri ama mbaya: wanajitahidi kuniweka sawa kwa maneno na vicheko. We have one happy family once more: lakn all in all nikikumbuka familia yetu 30 years ago....kisu kikali hunichoma moyoni shaaaa!

Back kwa wewe unayetafuta marafiki, sidhani kama rafiki anatafutwa delibeletli kwa jinsi hiyo; automatically kulingana na mazingira kuna watu utajenga nao mazoea, na kati yao kuna wachache ambao Mungu atawaunganisha nawe, tabia na mambo yenu yatakuwa yanaendana na mtakuwa kitu kimoja (be careful though!).
All the best!

sidhani kama kuna aliyepinga hapa tunajaribu kumuelekeza marafiki gani aanze nao as for her case anataka atakaekuwa kama ndugu!tunao marafiki ndio but tunajua yupi rafiki yupi mnafiki!marafiki wazuri na wabaya ni kama mkono wa kushoto na kulia lazima ypte itumike kwa kazi tofauti tofauti,so we all need both types of friends!
Well said mdada.Sio kila rafiki ni rafiki wa kweli...chukua tahadhari!

Rafiki kama ndugu ndiyo anakuwaje sasa?

Kuna wengine tunaona ni afadhali marafiki kuliko ndugu zetu wa "damu"!

Kwahiyo EW inategemea "unapungukiwa" na nini?

Ila imeandikwa "hakuna lisilowezekana kwa BWANA"

ukitaka kupata rafiki mtakayepatana, taja umri wako, elimu, profession, kazi na hobbies. Hapo wengi walio-confirm kutaka ushauri watakukimbia mara tu utakapoonana nao!

Ni mtu wa miaka kuanzia mingapi unamchukulia kama "Very Grown Up"?
Vipi kama mtu siyo "Very grown up" lakini hana mambo ya kitoto kama unavyohitaji, ruksa kutuma maombi?
Vipi kama mtu hakui lakini akili zinakua, anaruhusiwa kutuma maombi pia?
Labda nimekidhi vigezo... LOL!!

Mungu, akulinde nawe pia Mpendwa.

JF raha sana, yaani hapa watu wanapinga tu oooh marafiki wabaya mara marafki wanafiki, ukiangalia profile zao wamejaza marafiki kibao yaani nashindwa kuelewa hapa!:sleepy::sleepy:

umeona eeh!
Mijitu minafki humu we acha tu.

Wow lots of comments on ya post GW!
Ya won't be able to know ya friends untill ya'v already started "knowing" them.Getting to know someone starts by letting him/her in.I think ya understand what I mean here.I do not see any problem on announcing that yar after friends and the good on that,the ones who will play the brotherhood and sisterhood role to ya.
I am sure ya grown up enough to make ya choices from the nu "brothers and sisters' " request ya going to receive. Mine is sent in advance.

Tumsifu yesu kristo sisters and brothers
Natafuta rafiki wa kawaida kabisa sio mpenzi cause am committed already
Wa kiume wa kike..very grown up ambaye nategemea tutasaidiana katika ushauri maisha na mambo mbali mbali ,asiwe na mambo ya kitoto awe serious na maisha {na maanisha awe na misimamo thabiti} kuna watu wanakuwa lakini akili haikuwi ,
Wa kiume awe kama Broda aniheshimu nimuheshimu,wa kike awe ni kama dada mdogo wangu wa ukweli
Mungu awalinde katika pasaka hii- anayeenenda katika misingi iliyonyooka
EW
Mara nyingi marafiki huwa hawatafutwi kwa vigezo na masharti, Urafiki wa kweli uja wenyewe bila ya kuutafuta... kwani Waswahili tuna sema Hivi: Ndege wa rangi Moja Huruka Pamoja ("Byrdes of on kynde and color flok and flye allwayes together").

Kuna maeneo mengi ambayo unaweza kupata marafiki, kama vile Makazini au Maofisini, Vyuoni, kwenye nyumba za ibada, na hata humu kwenye tovuti baraza, ila yakupasa huwe makini sana, maana unawasiliana na watu usio waona. Yawezekana kabisa tabia zao zimejificha nyuma ya yale wanao yaandika hapa.

Mara nyingi binadamu tunaridhika kutupelekea kuchagua marafiki pale tu tunapo waona physically.

"As commonly birds of a feather will flye together."

Kila la kheri

Bwana Mungu Mwenyezi awe Nawe.

Similar Discussions

Back
Top Bottom