Natafuta rafiki awe kama ndugu yangu!

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
Tumsifu yesu kristo sisters and brothers
Natafuta rafiki wa kawaida kabisa sio mpenzi cause am committed already
Wa kiume wa kike..very grown up ambaye nategemea tutasaidiana katika ushauri maisha na mambo mbali mbali ,asiwe na mambo ya kitoto awe serious na maisha {na maanisha awe na misimamo thabiti} kuna watu wanakuwa lakini akili haikuwi ,
Wa kiume awe kama Broda aniheshimu nimuheshimu,wa kike awe ni kama dada mdogo wangu wa ukweli
Mungu awalinde katika pasaka hii- anayeenenda katika misingi iliyonyooka
EW
NB : walioomba niongeze baadhi ya vipengele kwenye Post yangu lakini naamini hata kama huna elimu ama unayo unahitaji rafiki
Nina Degree moja , Ninafanya business ,ni mkristo lakini haisumbui rafiki hata akiwa muislam mradi yule atakeyofunguliwa moyoni kama rafiki mwema na wa kweli ...nimefunga kwaresma tuendelee kuombeana
 
tumsifu yesu kristo sisters and brothers
Natafuta rafiki wa kawaida kabisa sio mpenzi cause am committed already
Wa kiume wa kike..very grown up ambaye nategemea tutasaidiana katika ushauri maisha na mambo mbali mbali ,asiwe na mambo ya kitoto awe serious na maisha
Wa kiume awe kama Broda aniheshimu nimuheshimu,wa kike awe ni kama dada mdogo wangu wa ukweli
Mungu awalinde katika pasaka hii
EW
hapo kwenye nyekundu ungetoa na mfano kabisa coz sijakuelewa hapo kuwa hayo mambo ni yapi?
na mimi nipo tayari kama upo commited kwa YESU only ila kama you mean kuwa upo comited kwa binadamu mwenzako basi , Tchao bibie
 
My dear thanks for Easter wishes, wishing you the same.

Marafiki wako wengi sana na wengi watataka kuwa rafiki yako ila jaribu kufuatilia wakoje maana marafiki huwa wajuzi kuharibu sehemu yenye amani na upendo, take care.
 
Umenipata rafiki maana mambo yangu ni ya kikubwa, maongezi yetu yatakua ya kikubwa na hata maombi yangu yatakuwa yanahusu mambo ya kikubwa tu.
 
tumsifu yesu kristo sisters and brothers
Natafuta rafiki wa kawaida kabisa sio mpenzi cause am committed already
Wa kiume wa kike..very grown up ambaye nategemea tutasaidiana katika ushauri maisha na mambo mbali mbali ,asiwe na mambo ya kitoto awe serious na maisha
Wa kiume awe kama Broda aniheshimu nimuheshimu,wa kike awe ni kama dada mdogo wangu wa ukweli
Mungu awalinde katika pasaka hii
EW

Nimegundua hamna sehemu uliyoandika umri, mm sijui sasa kama ni mdogo au ni broda.............
 
My dear thanks for Easter wishes, wishing you the same.

Marafiki wako wengi sana na wengi watataka kuwa rafiki yako ila jaribu kufuatilia wakoje maana marafiki huwa wajuzi kuharibu sehemu yenye amani na upendo, take care.

asante kwa mawaidha yako Lily Flower well noted
 
To me marafiki wengi ni wanafiki,Mungu awe ndio rafiki na mshauri wako wa kwanza,wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni........,unakaka,dada,mama,baba,watoto,mume?hao ndio marafiki zako wa kwanza kibinadam hawa ndio hasa wanapaswa kuwa marafiki zako wa zati,sawa kuna wengine wanapatana sana na rafiki kuliko ndugu lkn mwisho wa siku east or west?home is the best,cc wengine tupo tupo tu tunaweza kukupa ushauri pale utapohitaji lkn kuwa makini nasi maana afiki mkia wa fisi.
 
Mmmh! Kila la heri katika utafutaji wako...
Wengine sie tulisha tendwa na ubest hatuna hamu
I cant even remember the last time nilim-consider mtu rafiki
especially wadada...mmmh! tewali!!
 
Nakushauri tafuta kisirisiri bila ya rafiki kujua.Jinsi ya kutafuta ni wewe kuanzisha mawasiliano ya kawaida kabisa kama vile kuchati humu jf hata pm.Usitangaze nia yako ya urafiki mapaka umchunguze tabia yake (muda unategemea sana na jinsi mnavowasiliana).Then ukimfahamu kiasi fulani endelea ku-develop mahusiano na unaweza mwambia(japo mara nyingi urafiki kama unaotaka wewe huwa unakuja automaticaly bila kueleza).
Muhimu: Unapoendelea na kumchunguza huyo rafiki endelea kumwomba Mungu,kuwa kama hafai amuondoe mbali na wewe ,lakn kama anafaa Azidi kuwafungulia milango zaidi.
mwisho,MARAFIKI wa kweli na wadhati bado wapo hapa duniani ila ni kazi kuwapata.
Mbarikiwe na Bwana.
 
JF raha sana, yaani hapa watu wanapinga tu oooh marafiki wabaya mara marafki wanafiki, ukiangalia profile zao wamejaza marafiki kibao yaani nashindwa kuelewa hapa!:sleepy::sleepy:
 
Tumsifu yesu kristo sisters and brothers
Natafuta rafiki wa kawaida kabisa sio mpenzi cause am committed already
Wa kiume wa kike..very grown up ambaye nategemea tutasaidiana katika ushauri maisha na mambo mbali mbali ,asiwe na mambo ya kitoto awe serious na maisha {na maanisha awe na misimamo thabiti} kuna watu wanakuwa lakini akili haikuwi ,
Wa kiume awe kama Broda aniheshimu nimuheshimu,wa kike awe ni kama dada mdogo wangu wa ukweli
Mungu awalinde katika pasaka hii- anayeenenda katika misingi iliyonyooka
EW

Nipo tayari kuwa rafiki wako wa damu kabisa.
 
Mmmh! Kila la heri katika utafutaji wako...
Wengine sie tulisha tendwa na ubest hatuna hamu
I cant even remember the last time nilim-consider mtu rafiki
especially wadada...mmmh! tewali!
!

Pole naona shostito alikuzunguka mbuyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom