Natafuta rafiki ambaye yupo serious na ambaye ni mpole na asiyekuwa mkali

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20
Jina Langu: Tina
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: kati ya miaka 32 - 36
Natafuta: rafiki wa kiume kwa ajili ya long term relationship
Umri wake: uwe miaka kati ya 33 - 37
Jinsia ya rafiki: awe mwanaume
Nchi ninayoishi: Nipo Europe

Nch anayoishi: awe anaishi pia nje ya Tanzania
Umbo langu: wastani
Muonekano wangu: wastani
Oa/Olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/Olewa (yeye): awe hajawahi kuoa, asiye na mke wala mchumba
Mtoto (mimi): sina mtoto
Mtoto (yeye): asiwe na watoto
Dini yangu: mkristo
Dini yake: pia awe mkristo
Sigara (mimi): sivuti
Sigara (yeye): asivute
Pombe (mimi): situmii pombe
Pombe (yeye): asiwe anakunywa pombe au awe anakunywa kidogo ila asiwe mlevi
E-mail yangu: tinakambi@yahoo.com
Simu: nitampatia baada ya kufahamiana

Maelezo zaidi: Natafuta rafiki ambaye ni mpole, asiyekuwa mkali, mcheshi,

mstaarabu, ambaye yupo serious na ambaye anaishi nje ya Tanzania. Pia Mungu
akijalia tufike mbali kwenye ndoa na awe tayari kupima ukimwi.

kama unatafuta mchumba ama rafiki,tafadhari tembelea kwa kubofya hapo chini:

<<NATAFUTA MCHUMBA MWAMINIFU>>
 
32 mpaka 36 bado hajaolewa mpaka leo???.. Wala hana mchumba??? Hiyo ni kali..

Kila la kheri!..
 
32 mpaka 36 bado hajaolewa mpaka leo???.. Wala hana mchumba??? Hiyo ni kali..

Kila la kheri!..
Hapo sasa, 32 -37 hana mtoto, hajaoa na hana mchumba! Nadhani anatafuta kupigwa fix na mafisi maji. Je kabila awe kabila gani, elimu yake pia aanzie wapi?
 
Hii imekaaje?! Ni tangazo la site ya malovee au unasaka mchumba?!
Kama ni mchumba, kwa sasa baadhi ya vigezo nimeangukia pua! Mfano hicho cha umri itabidi niongeze bidii! Na hicho cha nje ya bongo niko nusu sababu niko Misrata na mwezi ujao nitatembelea Kismayu. Si afadhali ningekuwa bongo kabisa! Kwa hiyo nikutakie kila la heri na nikuage kama ifuatavyo.......
 
duuuh¡ mi mwnyw nakuunga mkono uko right kabisa coz mpendwa hapo kabugi ctape kwnz umri tu nkikwazo.
 
mimi niwahapahapa cpo nje ya nchi hivyo mi nkama mtazamaji, wewe ndo mchezaji uwanja ni wako uko free kabisa.iz g.w.m frm tabata bima in dsm
 
Umenipata nipo ILLINOIS,CHICAGO, Kitongoji cha NAPERVILLE ur warmly welcome dia
 
mimi niwahapahapa cpo nje ya nchi hivyo mi nkama mtazamaji, wewe ndo mchezaji uwanja ni wako uko free kabisa.iz g.w.m frm tabata bima in dsm

hahaaa tbt bima ni kitaa kwangu huko nikiwa Tz, mimi home ni karibu na kanisa la kristo mfalme parokia ya tbt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom