Natafuta Punda wa Kununua!

Punda in DAR?
naomba unielimishe jinsi utakavyo watumia, na faida zake,naweaza kushawishika kufuga nami, ukivuka kigamboni about 2km from ferry kuna kanisa la kipentekosti ,kuna jamaa anauza vyungu/mitungi,huwa naona punda wawili wakila majani,nahisi anayewafuga yupo karibu,unaweza pata more information .
Yaeda ipo mbulu/karatu
Front Page 4

Kuhusu eneo nilalo kubwa Preta ( ekari tatu nadhani zinatosha)

Yaeda ndo wapi huko? si vibaya ukinisaidia kuuliza bei.

Punda milia a.k.a Zebra simuhitaji! Mi namtaka huyu punda kihongwe ili afanye kazi......kama siku simuhitaji nitamuuza.
 
Asante mkuu, nime ku- pm.

Punda in DAR?
naomba unielimishe jinsi utakavyo watumia, na faida zake,naweaza kushawishika kufuga nami, ukivuka kigamboni about 2km from ferry kuna kanisa la kipentekosti ,kuna jamaa anauza vyungu/mitungi,huwa naona punda wawili wakila majani,nahisi anayewafuga yupo karibu,unaweza pata more information .
Yaeda ipo mbulu/karatu
Front Page 4
 
Mkuu naomba ukipata muda check pm yako ili ujue utanisaidiaje ndugu yako. Asante

Hongera kwa kupenda kuwafuga punda. Je unaweza ukaja hapa Singida ukawapata mara moja maeneo ya Itaja km 30 toka Singida mjini. Bei @180000. Ni pm tuwasiliane.
 
Wakuu bado ninamtafuta huyu mnyama, Kayoka naona hajibu pm. Mwenye kufahamu pahala nitapata na kwa bei gani tafadhali tuwasiliane.
 
Punda wapo kigamboni eneo la kisiwani wanapiga mzigo, wao wanachota maji kwa Tsh30 na kuuza kwa watumiaji kwa tsh 350 kwa dumu la lita20
punda-kigamboni.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom