Natafuta printing machine

laun

Senior Member
Sep 5, 2011
111
26
Kwa wadau wenye kujua bei na specification ya printing machine yenye uwezo wa kutengeneza bus tickets,receipt,cash sale,invoice, and similar documents.
Nahitaji kuwekeza kidogo nilichonacho katika biashara ya uchapaji.
Naomba msaada wenu wadau
 
sio lazima uprint wewe, kama umepata tenda ya kuprint njoo kwa sisi wenye shughuri hizo , tunafanya kazi pamoja niandikie info@havilla enterprises
 
sio lazima uprint wewe, kama umepata tenda ya kuprint njoo kwa sisi wenye shughuri hizo , tunafanya kazi pamoja niandikie info@havilla enterprises

Sijapata tenda,nataka kuanza hiyo biashara huku nilipo kwani nimeona fursa.For the time being unaweza ni-pm price ya kuchapa stakabadhi,invoice za kawaida,page page size 5"by 3",number of pages 50 inaweza ikawa sh ngapi per piece ili nione if there z advantage before making a "make or buy decision"
 
sio lazima uprint wewe, kama umepata tenda ya kuprint njoo kwa sisi wenye shughuri hizo , tunafanya kazi pamoja niandikie info@havilla enterprises

Akiri kaka, jamaa anataka anaulizia ustaarabu wa kuchonga mzina wewe unataka kumgawia asali kidogo!!!...hahahaaa! pamoja mkuu.
Hebu nifowardie hizo bei zako za kuprinti stakabadhi mbalimbali za ukubwa wa A4 na nusu ya hiyo, za rangi tafadhali; pia nifahamishe ofisi ipo wapi ili niwe naagza vijana kuprinti kwako na kuchangiana kidogokidgo kaka, thanx.
 
Printing machine zinatofautiana bei, ila kwa shughuli zako ndogo ndogo ni bora ukawa una-subcontract. Pia kazi hizo zinahitaji vifaa vingine ambavyo ni tofauti na hiyo machine, kuna cutting machine, trimming machine, numbering machine etc. Fanya utafiti kwanza ndo tujue wapi pa kuanzia kukushauri. Ila kwa kuwa unataka bei - Second hand waweza pata kwa M 5 Tshs.
 
Kwa wadau wenye kujua bei na specification ya printing machine yenye uwezo wa kutengeneza bus tickets,receipt,cash sale,invoice, and similar documents.
Nahitaji kuwekeza kidogo nilichonacho katika biashara ya uchapaji.
Naomba msaada wenu wadau

Kuna kampuni inaitwa Heidelberg East Africa wapo mandela road baada ya tazara ukiwa unaelekea kurasini. Wao ni dealer wa mashine za Heidelberg na huwa wanauza hata used kwa bei nafuu. Unaweza kutazama website yao www.heidelberg.com
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom