Natafuta printer........

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
wana JF mm sina uzoefu wa kutosha juu ya hizi printer.........ilka nataka kununua printer yenye uwezo wa ku-print passport size, karatasi kwa rangi zote coloured na coloures. so nahitaji kujua ni aina zipi ni nzuri na zinapatikana kwa bei gani hapa Dar na ni duka lipi ni zuri kwa hizi printer hapa DSM. ntashukuru kwa msaada wenu.
 
PX660_CISS_3.jpg px 660.jpg

Mkuu, ninakushauri ununue epson printer model no PX 660WIC, PRINTER HII NAUWEZO WA KUPRINT PICHA ZA PASSPORT SIZE, 4*6, 5*7, 6*8, 8*10 NA 8*12 AU A4. PIA INAUWEZO WA KUPRINT KARATASI ZA RANGI NK, PIA INAUWEZO WA KUPRINT DVD NA CD, NA BILA KUSAHAU MAMBO YA SCANNING, COPYING.
ni vema ununue ikiwa na continuous ink system (CISS).badala ya kutumia cartridge za kawaida ambazo ni ghari sana.
Kwa dar es salaam unaweza kupata maeneo ya kariakoo mtaa wa aggrey/Likoma

KWA MAELEZO ZAIDI E-MAIL: auguster@live.com
 
Attachments

  • px 660-wic.jpg
    px 660-wic.jpg
    16.9 KB · Views: 132
View attachment 51788View attachment 51786

Mkuu, ninakushauri ununue epson printer model no PX 660WIC, PRINTER HII NAUWEZO WA KUPRINT PICHA ZA PASSPORT SIZE, 4*6, 5*7, 6*8, 8*10 NA 8*12 AU A4. PIA INAUWEZO WA KUPRINT KARATASI ZA RANGI NK, PIA INAUWEZO WA KUPRINT DVD NA CD, NA BILA KUSAHAU MAMBO YA SCANNING, COPYING.
ni vema ununue ikiwa na continuous ink system (CISS).badala ya kutumia cartridge za kawaida ambazo ni ghari sana.
Kwa dar es salaam unaweza kupata maeneo ya kariakoo mtaa wa aggrey/Likoma

KWA MAELEZO ZAIDI E-MAIL: auguster@live.com

Kaka bei gani hiyo printer mimi pia nahitaji na vp kuhusu uimara inadumu?
 
Jamani, hata mm nahitaji printer! Nimeenda zenj wiki iliyopita pia sikufanikiwa! Lakini nimeacha order kwn kuna jamaa ameenda China atarudi ndani ya siku 10. Kama, dar zinapatikana tujuzane wakuu na bei?
 
ninaweza kukuletea kutoka nairobi kwa bei poa kabisa,ndani ya siku nne umeshapata kiongozi
 
kaka bei gani hiyo printer mimi pia nahitaji na vp kuhusu uimara inadumu?

mkuu, printer ni imara kabisa ,hakuna ubabaishaji zimetengenezwa na kampuni ya epson indonesia.
Kwa epson printer bei yake inatofautiana kutokana na mahitaji ya mtu, mfano kwa epson px 660 ikiwa na continuous ink system (ciss) + ink + installation of ciss inakuwa tsh 750,000/= guarantee one year.ila ukitaka printer peke yake bei inakuwa tsh 500,000/=tu.

PIA ZIPO AINA ZINGINE NYINGI AMBAZO BEI ZAKE NI NDOGO TU.

Nb bei sio fixed price.
Tel 0768937776
 
Back
Top Bottom