Natafuta Pool Table

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Wandugu wa hapa jf naombeni msaada wenu, nahitaji kununua pool table kwa ajili ya kuweka kwenye bar yangu
Nipo Mwanza naombeni mnijuze pa kununua
 
Njoo Dar es Salaam, Mandela Road, maeneo ya External. Kampuni inayouza hizo meza inaitwa KENICE, kama sikosei au jina linalofanana na hilo.
 
Chonde chonde pombe nomaaa na pool table kwa vijana ni nomaaa utawatia umasikin zaid,hyo hela kwanin usiinvest kwenye kilimo
 
Kama unataka jipya kuna kampuni nyingi sana hapa dar, ukitaka used pool table na lipo kwenye hali nzuri nione. Bei sawa na bure Tsh 900,000/: cell 0813664326.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom