NATAFUTA PIKIPIKI YA BEI NAFUU/iliotumika

MUSOLINI

Member
Apr 17, 2012
12
1
naitaji pikipiki ilio katika hali nzuri isiyozid LAKI 8 iwe FEKON/SANLG/HONDA tuma msg kabla ya kupiga no 0654183778
 
wakishakutumia message uziweka hapa na mimi natafuta lakini mimi angalau ya 1.5 iwe hinda tu
 
nauza TIBETA na miezi miwili toka nimenunua ni kwa matumizi ya ofisi wala si boda boda laki 9 ni PM ka unataka ipo dar
 
Nina uza Pikipiki aina ya Platina Bajaji, bei 1200000/=. Niko Dar es Salaam
 
hiyo pikipiiki imetumika miaka mingapi best na au ni miezi mingapi ni zile aina ya bajaj miguu mitatu au ikoje waweza onesha picha yake hapa pls kwani naitaji niko serious.
Nina uza Pikipiki aina ya Platina Bajaji, bei 1200000/=. Niko Dar es Salaam
 
Kaka pikpik bado ipo, imetumika miaka miwili kwa kuendea kazini, sasa natafuta gari ndo mana naiuza, 0713968649 kwa mawasiliano zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom