NATAFUTA PART TIME,nimesoma special education!!!

ndelekio

Member
May 5, 2012
31
5
Mimi ni mwalimu specialist wa walemavu na physical Education,nipo Mwanza natafuta kibarua jamani kuanzia saa saba kamili,please anaeweza kunielekeza pa kuaply!!!
 
Kwa nini ni mpaka iwe saa saba? Ushauri wangu: hebu fatilia ofisi ya afisa elimu wawezapata taarifa!
 
Thanx nzenzu saa7 coz nina kibarua kingine natoka saa saba,natafuta kwenye private sector!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom