Natafuta Part Time Job

Kigali

Member
Dec 31, 2011
33
10
Wana jamvi habari za majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Leo najitokeza kuomba msaada wenu. Natafuta ajira au kazi ya ziada nimeamua kufanya hivi kwani nimeona kuwa ajira niliyonayo kipato ninachopatahakikidhi mahitaji hivo nimeamua kutafuta kazi nyingine ili kujiongezea kipato.
Elimu yangu ni Diploma in Computer Engineering na nina uzoefu wa miaka 3 katika kufanya kazi za Network monitoring na Call Centres kwenye contractors wa telecom operators. Muda wangu wa ziada ni kuanzia saa 12jioni hadi saa 6usiku nakuwa available.
Tafadhali kwa yeyote mwenye taarifa zinazoweza kunifanya nifikie lengo langu nitashukuru sana kuzipata
email yangu ni farajawilly@hotmail.com
 
Kwa elimu kama yako ni vema ukafanya mpango wa kujiajiri mwenyewe katika muda wako wa ziada itakusaidia zaidi kuliko kutafuta ajira za kuajiriwa tena.
Thnaks
 
Back
Top Bottom