Natafuta pa kuchapisha Jarida kila mwezi

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Kama wewe una kiwanda Cha kuweza kuchapisha jarida la kila mwezi ni PM

Masharti
Uandaaji wote unafanyika nje ya dar,utatumiwa kwa fumo wa PDF,utachapisha na kutuma majarida kwa njia tutakayokubaliana,jarida ni full colour au front,back and center musr be full colour.Kuhsu idadi ya copy itategemea na bei yako

hili ni jarida siyo gazeti,page ni 12 tu

kazi kwenu
 
Kuna Vitu vingi umesahau kuweka kama:

1. Paper Size - za ndani na nje
2. Size ya hilo jarida -
3. Quantity is important kwa sababu the more you print the less the price...

Hizi ni details ambazo unatakiwa kuwa nazo...
 
Tuwasiliane, utapata bei nzuri kwa namna yoyote ile iwapo idadi yako itazidi copy 500, ubora utakuwa wa kuridhisha na nitahitaji masaa 36 tu ya kufanya kazi ya hadi copy 3500. Utaweza kuona samples za majarida niliyokwisha kuprint kama ukihitaji kufanya hivyo, karibu!
 
xhuma upo wapi? ofice?printhouse?je unaprint magazeti like kiu,ijumaa etc
 
xhuma upo wapi? ofice?printhouse?je unaprint magazeti like kiu,ijumaa etc

nasikitika kwa kuchelewa kujibu hili mapema ni hizi biashara za mjini, @mzalendo kwa sasa sina teknolojia ya kuchapisha magazeti mithili ya kiu n.k, lakini nafanya majarida mfano wa kitangoma, exel, adverstise in dar na mengine ya mfumo huo, kwa kuongeza na design na kuprint, mie nipo sinza na kariakoo! karibu!
 
Kama kuna mtu/kampuni ya kuprint majarida please ni PM tufanye kazi....
au nitafute through 0717986368
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom