Natafuta office ya chama cha riadha

1975

Senior Member
Jul 9, 2009
131
18
Naomba msaada wa kilipo chama cha riadha,binafisi naishi maeneo ya kimara si shabiki wa michezo lakini nimuomavyo msichana wetu wa kazi ni mutu ambaye itakuja kuwa lulu kubwa ya taifa hili,mutu ambaye ukimutuma anakimbia sana na wakati mwingine ukimpa nauli mahali kama sio mbali yeye hukanyaga mwendo.Nimemwambia mke wangu atafute house girl mwingine huyu ni mali ya taifa NATAKA KUWAONA VIONGOZI WANAOHUSIKA NA MAMBO YA RIADHA MUNIAMBIE OFISI ZAO ZIKO WAPI?iI AM SERIOUS.UNAWEZA NI PM AU SEND SMS TO 0717031290
 
Back
Top Bottom