Natafuta nyumba

jackiedmos

New Member
Apr 4, 2011
3
0
natafuta nyumba maeneo ya kuanzia mbezi Africana kurudi hadi kijitonyama hadi makumbusho. vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, dining, na parking.

Thanks
 
Kuna nyumba ipo sinza barabara ya kanisani karibu na udzungwa library bei m70 kama uko tayari tuwasiliane
 
Nyumba ya Bajeti hiyo ipo Mbezi Beach nipigie katika simu hii nikupatie maelezo 0784225000 au 0717114409
 
Back
Top Bottom