natafuta nyumba ya kupangisha Tanga.

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
na tafuta nyumba ya kupangisha tanga mjini,iwe na vyumba visivyopungua 4,sebule,jikoni,na kama itakuwa na master bedroom ,itakuwa nzuri zaidi.kama mtu ana contact please let me know.
thank you.
 
mkuu nyorosa maelezo:unatafuta nyumba ya kupanga yenye vigezo hivyo au una nyumba unahitaji wapangaji? sijakusoma vyema mkuu
 
na tafuta nyumba ya kupangisha tanga mjini,iwe na vyumba visivyopungua 4,sebule,jikoni,na kama itakuwa na master bedroom ,itakuwa nzuri zaidi.kama mtu ana contact please let me know.
thank you.

KUna rafiki angu anayo nyumba ipo Majani Mapana Tanga NHC no 16 ina VYUMBA VITATU KIMOJA MASTA ina sehemu ya kupaki gari ina gate na ipo marabara ya kwenda Shule ya sekondary Galanos karibu na Barabara kubwa Ya kapiko road karibupiga namba ya simu ni 0714143123
 
Kuna rafiki angu anayo nyumba ipo Majani Mapana Tanga NHC no 16 ina VYUMBA VITATU KIMOJA MASTA ina sehemu ya kupaki gari ina gate na ipo marabara ya kwenda Shule ya sekondary Galanos karibu na Barabara kubwa Ya kapiko road karibupiga namba ya simu ni 0714143123 jamaa anaitwa Rama yupo hapo Dar es salaam
 
Ngala,kuna jamaa anatafuta nyumba,na siyo wapangaji,yeye anataka kupangisha nyumba.natumai umenipata vizuri.
 
Wasiliana nae haraka ana wapangaji wengine wanatafuta nyumba sasa kwasababu wewe ni mdau mwenzangu ndo maana nimemwambia akupe kipaumbe
 
Piga simu hii ( 0718994876) uongee na dalali. Naamini atakusaidia kwani alimsaidia sana jamaa yangu.
 
Piga simu hii ( 0718994876) uongee na dalali. Naamini atakusaidia kwani alimsaidia sana jamaa yangu.

...haya mambo ya madalali haya! Hapo lazima umkatie Kodi ya mwezi mzima zaidi ya ile kodi ya nyumba kama ada yake! Ndio wanaochangia sana hawa katika kuongezeka kwa kodi za nyumba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom