Natafuta nyumba ya kupanga

faabroz

JF-Expert Member
May 26, 2009
286
69
natafuta nyumba ya kupanga
chaguo la kwanza.
mahali: Iwe sinza au mwenge-dsm
content: Vyumba vya kulala vitatu (3) iwe na sebule 1, umeme, maji, (choo, bafu) ikiwa na uzio poa zaidi.


chaguo la pili.
mahali: Iwe sinza au mwenge-dsm
content: Chumba kimoja kikubwa sana,(kiwe self au cha kawaida,) umeme na maji, ikiwa na geti+uzio ni safi zaidi.

Mwenye nayo/fununu/tetesi/ naomba ani-inbox/pm tuwasiliane, ahsante kwa msaada wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom