Natafuta nyumba ya kupanga

naike

Member
Sep 28, 2009
57
9
Natafuta nyumba ya vyumba vitatu ndani ya geti, iwe na sehemu ya kuweka gari. Iwe na master. Maeneo ya kinondoni, kijitonyama na mikocheni. Isiwe kwenye shared compound. Bajeti isizidi 350,000 kwa mwezi.
 
kuna ambayo iko makumbusho lakini kodi ni 750,000 per month.

Ina Electric Fence

2 master bedrooms

Full AC.

Ni nzuri sana.
 
Natafuta nyumba ya vyumba vitatu ndani ya geti, iwe na sehemu ya kuweka gari. Iwe na master. Maeneo ya kinondoni, kijitonyama na mikocheni. Isiwe kwenye shared compound. Bajeti isizidi 350,000 kwa mwezi.

itakuchukua mda kuipata kwa bei hiyo. Mungu akujalie upate hitaji lako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom