Natafuta nyumba ya kupanga Moshi!

FM stereo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
206
122
Naombeni msaada wenu wakuu wa moshi!
Nyumba iwe self ya kuanzia room mbili au tatu.
Isiwe mbali sana na sehemu ya kupanda daladala za kwenda mjini.
Iwe na fensi na nafasi ya kueza kupak gari!
Bei 120,000/= - 150,000/=.
Mwenye msaada ani PM.
 
self ya rum mbili au tatu kwa 150 na mosh ilivyojaa wazungu wa volunteer,ongeza dau mkuu niwasiliane na wajomba
 
mkuu ukikwama kuna nyumba ya kumalizia ,kuweka vioo frame za vioo tayari zipo natiles nyumba ya wastani, room mbili na garage jiko na choo ,bei yako poa fenced na kuna nyumba nyingine zimepangishwa hapo hapo kwa hiyo kuna security kubwa tu karibu na majengo ila upande wa pili huku ymca
 
Naombeni msaada wenu wakuu wa moshi!
Nyumba iwe self ya kuanzia room mbili au tatu.
Isiwe mbali sana na sehemu ya kupanda daladala za kwenda mjini.
Iwe na fensi na nafasi ya kueza kupak gari!
Bei 120,000/= - 150,000/=.
Mwenye msaada ani PM.

col.........0768390212
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom