natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya ubungo karibu na shekilango

wapalepale

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
259
56
wadau nisaidieni, naomba kama mwenye details zozote kuhusu hili, nyumba iwe na vyumba 2 vya kulala (kimoja kikiwa self contained itapendezazaidi), sebule kubwa ya kutosha, na stoo. pia kama meter iwe yangu mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom