natafuta nyumba ya kupanga kinondoni/morocco/ block41/victoria

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
natafuta nyumba ya kupanga kinondoni/morocco/ block41/victoria au magomeni kuanzia usalama mpaka mapipa.

Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo kiwe master, choo cha jumuia kiwe kikubwa, jiko liwe kubwa la kutosha, iwe na ukuta na geti na nafasi ya kupaki magari mawili. Iwe katika hali nzuri ya kuhamia hata next day, sihitaji nyumba inayosubiri mpangaji itengenezwe au ifanyiwe marekebisho....

Kodi iendane na ubora wa nyumba yenyewe. NiPM kama unayo au unamfahamu anayepangisha.

Shukran.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom