Wadau mwenzenu nimepewa notice natakiwa nimpishe mwenye mali yake so right now am looking nyumba ya kupanga yenye vyumba 2 vya kulala, sebule, choo na jiko ndani kwa ndani na pia iwe na fence na parking ya gari 1.
Budget yangu ni 200,000 kwa mwezi.
Maeneo kuanzia Mbezi Africana kuja hadi Mwenge, Makumbusho, Kinondoni, Sinza na Ubungo.
Mwenye msaada wowote naomba aninusuru na balaa hili. Nishahangaika na madalali wananizingua tu.