Natafuta nyumba ya kupanga (3-4 bedrooms)

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Nahitaji nyumba ya kupanga, vyumba 3-4, iwe na Master BR, KITCHEN, PUBLIC TOILET, SITTING ROOM, DINNING AREA NA STORE, IWE NA GATE (Secured Compound)
Maeneo: Sinza, Ubungo, Kijitonyama, Survey, Mikocheni, Kawe, Tangi Bovu, Makumbusho au Mwenge

Budget: 350,000/= - 500,000/= Kwa mwezi

Tafadhali julisha kama kuna nyumba maeneo yaliyotajwa.

Thanks
 
nyumba umepata weka contact nikupigie fasta ila mi si dalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom