natafuta nyumba sahare tanga

Wun

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
358
72
wanajamii nina shida ya nyumba au kiwanja ambacho kinauzwa maeneo ya sahare tanga mjini kwa yoyote mwenye info au yeye mwenyewe anauza please ni PM.
 
Ni-Pm namba yako ili kesho asb nikuunganishe na kama watu wawili watakutafutia house/kiwanya pale karibu na tanga beach resort!!
 
asante mkuu nina kutumia number yangu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom