Natafuta Nyumba Ndogo

Aisee hii kweli ni JF for lunatics.Yaani hata aibu huoni unatangaza ufuska wako wazi wazi.Kama bado wewe sio Freemason ni heri ukajiunga tu,maana wao haya ndio mambo yao.

Kaombe ushauri kwa John Warker. mpuuzi wa mwisho we.

Hacha ujinga ww kalale kkoo kwny mabox km huna pa kulala ebo!

Hivi Jamii Forums Kiwango Kinapanda Au Kinashuka?
tunaomba Mods watulinde na hawa wasiojua maana ya jukwaa la utani/vichekesho/udaku.
 
1. Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!

Katika I
wakorintho 12:28-30,
tunasoma hivi;
Na Mungu ameweka wengine
katika kanisa, wa kwanza
mitume, wa pili manabii, wa
tatu waalimu, kisha miujiza,
kisha karama za kuponya
wagonjwa, aina za usaidizi,
maongozi na aina za lugha.
Je! Wote ni mitume? Wote ni
manabii? Wote ni waalimu?
Wote wanatenda miujiza?
Wote wana karama za kuponya
wagonjwa? Wote wanena kwa
lugha? Wote wafasiri?
 
1. Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!

Na kama
walivyokataa kuwa na Mungu
katika fahamu zao, Mungu
aliwaacha wafuate akili zao
zisizofaa, wayafanye
yasiyowapasa.
Warumi 1:28.
 
1. Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!

Basi,
wewe usiwaombee watu hawa,
wala usiwapazie sauti yako,
wala kuwaombea dua, wala
usinisihi kwa ajili yao; kwa
maana sitakusikiliza.
(Soma Yeremia 7:16)
 
akwani jamani si anatafuta nyumba ya kupanga? Labda kule alikopanga sasa nyumba ni kubwa na ina wapangaji wengi, au labda resources zake hazitoshelezi kwenye nyumba kubwa. mwaya njoo huku kwetu zinapatikana nyingi tuu, wasikutishe hao. Mie mwenyewe natafuta nyumba ndogo lol, hii kubwa naona kodi yake inazidi kupaaa, tehe.
 
Hata mimi naunga mkono hoja ya g.n.n kwamba hili ni jukwaa la utani, kama huwezi kuchangia, kaa kimya, au cheka tu! Mwacheni ajinyooshe!
 
Mmmmmmmh! Utani sawa lakini mwenye hofu ya Mungu jamani sijui kama anakuaga na mawazo yakutumia mpaka TIGo! Alaaaa! Punguza bwana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom