Natafuta nyumba maeneo ya kimara na ubungo

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
Heshima mbele wakuu .. Nahitaji nyumba ya kupanga yenye sifa zifuatazo vyumba viwili vya kulala ,sebule na jiko iwe ndani ya fensi na kaparking kakiaina bajeti ni 150,000-200,000/=...term za ulipaji ni miezi sita sita
maeneo ni kimara na ubungo(mitaa yake yote kwa maana ya riverside ,kibangu,hostel,maziwa na mitaa mingine ya ubungo..)
asanteni mwenyewe taarifa anaweza nipm..
 
Back
Top Bottom